Upatapo mpenzi je..?

With a huge relief, I am glad no one can date me.............but I can only date pretty gals.....................
 
Wewe kama mwanadamu unadhani siku tukidetiana ungefurahi nikikufanyia nini??

Asalaleeeeeeeeeeeee! Jf inaniweka officn hata weekend kama hii!!! asa hapa nisemeje vile........, Anhaaa nimekumbuka

first date mimi ni msosi kwanza, yaani uniandalie kweli c mchezo.........ila mcniogope coz mimi cna makuu kama paka mweusi, mimi bwana nikikosa biriani ah inshaalah pilau kwa kuku nitakula bila taabu, cha pili bwana ni kukupa utamu, maana mi mtamu kwelikweli, na kawaida yangu huwa cfi kimua na utamu wangu lazima nikuonjeshe
 
<b>Mkuu taratibu basi watu tuko kazini huoni ngoma ilivyokolea.
Preta kakuuliza tutunduma haujajibu ukaenda kuedit hata hivyo mueleweshe ajue hata akihitaji hicho kifaa awe anajua nini!labda anataka kuwa mteja mzuri!!
 
Preta kakuuliza tutunduma haujajibu ukaenda kuedit hata hivyo mueleweshe ajue hata akihitaji hicho kifaa awe anajua nini!labda anataka kuwa mteja mzuri!!

Mkuu hapo wala sijaedit hilo neno nimeliandika kama linavyosomeka naona mamii Preta yeye ndio ameamua kulichakachua,lakini anyway hata wewe unaweza kumjibu maana naona umeelewa namaanisha nini.
 
Preta anamaanisha bangi mbili hii nibaada ya kwenda kuchimbua katika kamusi ya kiswahili ya mtaani!!
 
mmhhh haya bwana ...

mmhhh haya bwana ... Kulikoni nyote mmemaliza kwa wimbo huo??au nimakubaliano yenu??
 
Back
Top Bottom