Upasuaji wa kwanza wa kuhamisha kichwa kufanyika

lugha rahisi ni kwamba kinachobadilishwa ni kiwiliwili na siokichwa.

kicha ndio identity ya mtu, kule kichwa kilipo ndio mtu alipo.
 
Vipi kuhusu fingerprints mkubwa?

fingerprints "Is one among but not only"..
face is an identity, ndio maana kuna face detectors.
kuna vitu kama zile alama za kwenye ulimi pia huwa hazifanani, hata kwenye nyayo/miguu....
so ikilazimu mtu aweke fingerprints somewhere basi atalazimika kutumia za kiwiliwili kipya, isipolazim basi atatumia vitu vingine kama identity yake.
 
Kma huo upasuaji utafanikiwa kabisa basi
kuna dalili hata uhamishaji wa ubongo
ukawezekana pia.
i.e Brain transplant ,
N.B: Omba usipewe ubongo wa kichwa maji.
 
Identity haipotei,unabaki na kchwa chako.

Okay I get it now kuwa shida ni misuli kwahiyo wanatoa kichwa kinahamishiwa kwenye kiwiliwili kisicho na problem hiyo. Still scary, my wife will be fu**ing someone else's di*k!! no way.
Halafu ule mwili wangu wa zamani unaenda kaburini.. uzuri hiyo gharama yenyewe wengi hatuwezi kuiafford
 
Nasikia walishawahi kujaribu kwa nyani miaka ya 70s lakini ndani ya wiki tu aliachia ngazi!!

Hata hyo ni achievement kubwa,tatizo kubwa ni kwamba huo mwili unatoa kemikali ambazo zinareject hiko kichwa yani mwili unaona kama umevamiwa.
 
Hata hyo ni achievement kubwa,tatizo kubwa ni kwamba huo mwili unatoa kemikali ambazo zinareject hiko kichwa yani mwili unaona kama umevamiwa.

hilo wala sio tatizo ndio maana transplant nyingi zinafanyika: kubadili moyo, figo, limbs, kifupi ni kwamba liliishapatiwa ufumbuzi tangu zamani...
even successful in blood transfusion inaonesha the way to go.
 
SASA BUKOBA BOY~hicho kiwiliwili kipya kinatoka wapi maanake ukizingatia lazima kiwe na good health
 
uyo doctor cannavaro anao taka jaribu fanya ilo tukio nafikiri ata kwama kwajili ya Celebral spinal(uti wa mgongi) huwezi unganisha kichwa na uti wa mgongo wa mtu mwingine...lazma itatokea Auto İmmune ya kichwa kukataa mwili..na ndio sababu apo mwanzo walipokuwa waki wafanyia nyani jaribio ilo baada ya mda mfupi wali kufa due to Autoimmune.
 
pia neurones na njia ya spinal cord itakuwa shida kukata na kuunganisha:doh::doh::doh:...lakini wakitulia wanaweza kufanikiwa ingawa ni ngumu sannna sanna sanna....M'mungu awajaalie:sick:
 
Back
Top Bottom