Chinengu
Member
- Jan 20, 2019
- 92
- 85
Amani iwe juu yenu waungwana.
Husika kichwa cha habari hapo juu,ningependa yupeane ufafanuzi kidogo juu ya swala hili.
Nijuavyo Mimi,mgonjwa anazo haki zake za msingi,mfano kupendekeza,kuchagua au kukataa kutibiwa na dr Fulani kwasababu zake mwenyewe,nk.
Sasa kwakuwa elimu ni pana sana yapo ambayo wengine munayafahamu wengine hatuyajui.
Kumezuka utaratibu katika hospital ya wilaya Newala ambao ni mpya na waajabu sana,mfano ukiwa na mjamzito ambae wao madaktari wataamini anahitaji upasuaji basi atafanyiwa upasuaji pasipo kushitikishwa/kuhusishwa au kupata ridhaa ya mgonjwa/mume au nfugu yeyote.
Na ikitokea kafanyiwa huo upasuaji hamruhusiwi kwenda wodini kumuona mgonjwa wenu hadi yeye mwenyewe apate nafuu ndio atoke aje kuwaona nyie nje.
Pia iwapo mna mjamzito na akafanikiwa kujifungua hamruhusiwi kwenda kumuona yeye wala mototo hadi aruhusiwe.
Sababu yao kubwa wanadai wanaogopa wagojwa kurogwa vifonda ya operation visipone au kurogwa ili vichanga vife,binafsi siioni sababu ya msingi Ila naona kuna fursa kwao ama kuiba watoto,viungo vingine vya mwili,kupiga dili za kuuza watoto wa jinsia Fulani na kuwawekea akina mama watoto ambao si wao.
Yu
Tusaidiane kupeana maarifa jaman swala hili lipo kiharali au ndio tunaanza biashara mpya mahospitalini?