Amavubi umeona hiyo kaunta ilivyopangwa vizuri!!!!!!!!!!Mkuu mbona bado mapema unatutia NDIMU?
wataalamu wanasema kinachoona ni akili si macho, hapo akili yangu imekimbilia kwenye rangirangi za maji
hapo lengo la kaunta si kuvutia uzuri wa mbwa bali wala mbwa
Kaunta huoangwa mapema dhahiri, lakini Baa Hufunguliwa Jioni.....................ikesha kwa kila jambo kuna majira na wakati wakekwani wewe hujui kuwa kaunta hupangwa mapema?