Droo ilikua nzuri but tatizo ni hiyo tar, kuna aja ya kubadirisha tar japo mpaka tar 27 hivi.Semi Final FA CUP
Mwaadui Fc vs Azam Fc
shinyanga
Costail unioni vs Yanga Africa
Tanga kwa waarabu wa Tanga mkwakwani
gemu Tarehe 24
mmepokea vipi hii droo