Upangaji wa matokeo kwenye computer (exel program)

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Wana jf. Nilikuwa naomba nlmnisaidie kitu hiki.

Mfano nina matokeo nimeinguza kwenye exel labda A C B B B C C B C B sasa nataka nijumlishe points za hayo matokeo kwenye exel kwa kutumia kanuni alafu niweke division kwa kutumia kanuni je tunafanyeje na hapo kwenye matokeo tunachukua masomo aliyo fanya vzr ndo mengine yatafuata sasa.

Please nisaidie wanajf
 
Hii ipo humu ilishajadiliwa.

 
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom