Upangaji wa GPA kidato cha sita

Samahani wadau,tafadhali naomba kuelekezwa namna GPA kidato cha sita inavyopatikana!

Utaratibu ni kama ilivyo CSEE. uzito wa A= 5, B+=4, B=3, C=2, D=1 E=0.5 na F=0.

GPA= Jumla ya Pointi za masomo 3 ya tahasusi (combinational subjects) gawanya kwa 3.
 
Back
Top Bottom