Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
Timu za Geita Gold, JKT Oljoro, Polisi Tabora na JKT Kanembwa zimeshushwa daraja baada ya kukutwa na hatia ya upangaji wa matokeo katika mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza.
HUKUMU YA SAKATA LA UPANGAJI MATOKEO LIGI DARAJA YASOMWA LEO TFF
03/04 /2016
: Refa wa mchezo Kanembwa na Geita Akafungiwa maisha kujihusisha na mpira
⚽: Kamisaa wa mchezo huo naye akafungiwa maisha
⚽: Kocha Msaidizi wa Geita naye kafungiwa maisha
⚽ Kipa Kanembwa kafungiwa miaka 10 na faini milioni 10
⚽: Kipa Geita anafungiwa miaka 10 faini milioni 10
⚽Katibu wa Chama cha mpira Tabora kafungiwa maisha.
⚽Kipa ni Denis aliwahi kucheza Simba B
⚽Refa Mkeremi kati ya Polisi na Oljoro kafungiwa miaka 10, faini milioni 10
⚽ Hamisi Machunde 4 Ref kafungiwa miaka 10
⚽ Kocha msaidizi Polisi Tabora kafungiwa maisha
⚽ Mwenyekiti Oljoro kafungiwa maisha.
⚽ Mwenyekiti wa Chama cha mpira Tabora Bw. Kitumbo kafungiwa maisha!
⚽Geita na Kanembwa zimeshushwa Daraja. Kanembwa Ligi ya Mkoa Geita Daraja la pili
⚽Polisi Tabora na Oljoro zimeshushwa Daraja hadi Daraja la pili.