Upandikizaji wa Uboho kwa binadamu kuanza mwaka 2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Wizara ya afya imesema upandikizaji wa uboho kwa binadamu utaanza mwaka 2020 katika baadhi ya hospitali hapa nchini.
Hayo yamesemwa leo mjini Dodoma ambako vifaa vya Huduma hiyo vimeanza kuwekwa katika hospitali ya rufaa.

Source Star tv habari
Maendeleo hayana vyama!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom