Upandikizaji wa moyo wa Nguruwe kwa binadamu

Hata mungu alimtoa sadaka yesu ili kumkomboa binadamu
Je hawaoni kama huyo nguruwe atakayedhurumiwa uhai wake kwaajili ya binadamu hatakuwa ametendewa haki?
Je kule nchi zisizokubaliana na nguruwe haya yatafanikiwaje?
Je hawajaona kuna umuhimu wa kuelekeza nguvu zaidi kutatua tatizo la moyo husika badala ya kutwaa moyo wa kiumbe mwingine?
 

Attachments

  • 1566466792107.png
    1566466792107.png
    118.5 KB · Views: 11
Nitafanya jitihada za kimatibabu ikiwemo kuweka huo moyo,na kama kufa basi siku yangu itakuwa imefika....sio kukataa matibabu wakati kiumbe cha faida kipo na kimeumbwa na yeye mwenyewe.
Duniani ni mapito tu ndugu. Unaweza ukaekewa huo moyo na ukitoka tu spital ukafa kwa chengine.

Sijafanya research juu ya suala la matumizi ya kiungo cha mnyama huyo, nijuacho mimi ni kuwa tumekatazwa kumla.

Lakini ikitokea kuwa hata matumizi ya chochote kutoka kwake ni haram, basi siku ikifika ya kuchagua kuekewa kiungo icho au bora ukate maisha itakuwa ni sawa na kuchagua Akhera au Dunia.

Kwa mtu mwenye imani, Akhera ni chaguo sahihi.
 
Back
Top Bottom