Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,519
Ukishawekewa wa nguruwe utakuwa nguruwe si binadamu tenaNa huko utajakoenda baada ya kufa atakwambia " we ndo mjinga kweli mioyo ya nguruwe si ipo?"
Ukishawekewa wa nguruwe utakuwa nguruwe si binadamu tenaNa huko utajakoenda baada ya kufa atakwambia " we ndo mjinga kweli mioyo ya nguruwe si ipo?"
Hasbuna Allah waneema l'wakil.FaizaFoxy anasumbuliwa sana na tatizo la moyo nashauri apandikiziwe.
Wanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.
Majaribio ya kupandikiza moyo wa nguruwe kwa nyani yamefaulu kwa zaidi ya miaka miwili na wanasayansi hao wanaamini utakuwa salama kwa binadamu.
Upandikizaji wa moyo wa nguruwe unaweza kuokoa maisha ya wengi ambao hufariki kila mwaka kutokana na ukosefu wa viungo vya binadamu kwa upandikizaji.
Ndugu zangu waislamu niongeze volume au inatosha???View attachment 1187340
Funguka wewe usiogope kuwagusaKama Yehova witness hawataki kuchangiwa damu na dini nyingine zitaridhia kuwekewa moyo wa nguruwe?
Wewe dogo unazinguaWasisahau na mapua ya nguruwe watupandikizie pia, ikibidi hata korodani.
Hasbuna Allah waneema l'wakil.
Bibkia inasema...
7 Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao
na vitabu vyetu sisi tusio na wa imani hizo vinasemaje juu ya nguruwe?
Hamna,hakutakuwa na tofauti yoyote katika vifo,watu watakufa kama kawaida.Nafikiri sasa mwarobaini wa kifo utakuwa umepatikana, kwa hiyo matajir wote duniani hakuna kufa tena, ni mwendo wa kuishi milele, moyo ukizingua unareplace safi sana.
Mkuu unataka kuniambia mtu unaweza kufa bila mapigo ya moyo kukoma, mi nafikir baada ya mapigo ya moyo kukoma ndipo hupelekea pumzi kukata, so kama mtu atawahiwa kufanyiwa replacement ya moyo atakufaje. Pia je waweza Kufa huku moyo ukiendelea kusukuma damu?Hamna,hakutakuwa na tofauti yoyote katika vifo,watu watakufa kama kawaida.
Moyo unawekwa kwa wagonjwa wa moyo tu,kumbuka kuna watu wana mioyo mibovu,hali inayohatarisha maisha yao,kumbuka tundu kwenye moyo,wenye mioyo iliyovimba na kasoro nyinginezo.
Unaweza kufa kwa magonjwa mengineyo kama kawa.
Nguruwe analeta mpaka ukhanithi (impotence). Kama unamla kajipime.
Tazama jamii zisizozaana sana duniani utakuta ni wala nguruwe.
My point? Didn't you see the link? Its the scientists point not mine, I simply brought it to you and yours enlightenment.By 2017, half the world's pork was consumed in China.[8]
Pork - Wikipedia
en.wikipedia.org
Country with highest population ?....., Surprise.... China....
Thus your point does not hold water to say the least....
Kinqchomuua mgonjwa sio moyo kuacha kupiga...Mkuu unataka kuniambia mtu unaweza kufa bila mapigo ya moyo kukoma, mi nafikir baada ya mapigo ya moyo kukoma ndipo hupelekea pumzi kukata, so kama mtu atawahiwa kufanyiwa replacement ya moyo atakufaje. Pia je waweza Kufa huku moyo ukiendelea kusukuma damu?
bora wawekee tuu kama unasumbuliwa na moyo utajua maisha yanavokuwa magumu na unavokuwa hatarini so itasaidia sana mama zetu na wazee wetu na itapunguza kidogo vifo vinavotokana na matatizo ya moyoWanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.
Majaribio ya kupandikiza moyo wa nguruwe kwa nyani yamefaulu kwa zaidi ya miaka miwili na wanasayansi hao wanaamini utakuwa salama kwa binadamu.
Upandikizaji wa moyo wa nguruwe unaweza kuokoa maisha ya wengi ambao hufariki kila mwaka kutokana na ukosefu wa viungo vya binadamu kwa upandikizaji.
Ndugu zangu waislamu niongeze volume au inatosha???View attachment 1187340
Kiumbe hakina tatizo ni nyie tuu, nacho kilikuja duniani kama viumbe wengineJe hawaoni kama huyo nguruwe atakayedhurumiwa uhai wake kwaajili ya binadamu hatakuwa ametendewa haki?
Je kule nchi zisizokubaliana na nguruwe haya yatafanikiwaje?
Je hawajaona kuna umuhimu wa kuelekeza nguvu zaidi kutatua tatizo la moyo husika badala ya kutwaa moyo wa kiumbe mwingine?
Kiumbe hakina tatizo ni nyie tuu, nacho kilikuja duniani kama viumbe wengine