Accidental Genius
Senior Member
- Aug 17, 2019
- 154
- 188
Wanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema chini ya kipindi cha miaka 3, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.
Majaribio ya kupandikiza moyo wa nguruwe kwa nyani yamefaulu kwa zaidi ya miaka miwili na wanasayansi hao wanaamini utakuwa salama kwa binadamu.
Upandikizaji wa moyo wa nguruwe unaweza kuokoa maisha ya wengi ambao hufariki kila mwaka kutokana na ukosefu wa viungo vya binadamu kwa upandikizaji.
Ndugu zangu waislamu niongeze volume au inatosha???