Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

Mkuu wewe na Tz Daima naona mmekuwa mahakimu ktk hili. Au ndio njia ya kutuzuga ili tusifuatilie sakata la yule mbunge wenu na zile picha

Kwa maana unataka kutuambia picha za yule mbunge zipo kwa hakimu? Au nimekuelewa vibaya?
 
Watu wanasema uongo gazeti la udaku kama uongo aende mahakamani halafu yule kova na makengeza yake anasema ni mambo binafsi naomba nijulishwe kama ni mambo binafsi
1. Kumtishia mtu maisha kwamba utamuua, kumwagia tindikalina kumtumia majambazi
2. Kumwambukiza ukimwi kwa makusudi
3.kukili kuhusika na madawa ya kulevya pamoja na watoto wako
naomba tafadhali nijulishwe wanajamvi
Hata siku moja sijawahi kuona mtu wa makengeza akawa mkweli.
 
Kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi za kashfa za ngono kwa Mh Alhaji Othman Kapuya !
Hata hivyo sakata lililoripotiwa na Gazeti la Tanzania Daima leo linaleta maswali mengi.
Kama kweli zile sms walizochapisha TANZANIA DAIMA kaandika Kapuya basi huenda ALHAJI ana matatizo makubwa ya msongo
Katika hali ya kawaida angetulia bila kureact asikilizie upepo unavyoenda
Hata hivyo aibu aliyopata haifutiki1
Hili ni fundisho kwetu!
Kama haya ndio maisha ya watawala wetu ....tumekwisha kama alimbeba mtoto kama yule je huko alikopita akiwa waziri watumishi si kawamaliza
Ndio ujue Kuwa Elimu ya Tanzania haimsaidii mtu Kuwa mstaarabu
 
Nafikiri hastahili kuitwa Al Hajj,
Tayari amechafuka,ajisafishe kwanza au aonyeshe uwerevu wa kuomba msamaha.

Ma alhaji wengi ndio zao. Ili mrdi akimaliza upuuzi wa ngono akaoge, basi yuko salama. Utapeli tu kupitia dini. Hamna lolote. Ebu sikiliza wanavyomtetea watu walio na akili za panzi!
 
Watu wanasema uongo gazeti la udaku kama uongo aende mahakamani halafu yule kova na makengeza yake anasema ni mambo binafsi naomba nijulishwe kama ni mambo binafsi
1. Kumtishia mtu maisha kwamba utamuua, kumwagia tindikalina kumtumia majambazi
2. Kumwambukiza ukimwi kwa makusudi
3.kukili kuhusika na madawa ya kulevya pamoja na watoto wako
naomba tafadhali nijulishwe wanajamvi

Hapo kijani inauhusiano na kilichompata NGURI wa sheria dr.Mvungi
 
Intelijensia ya intelijensi ya Kova haiishindi ubora inteijensia ya intelijensi ya mijibwa ya Polisi

Waziri mkuu mtarajiwa wa urambo!!!!! Pole yenu hakuna wenye -ve afya huko mpaka mnganganie huyu
 
Last edited by a moderator:
Naona umejiunga na JF kutetea ujinga aliofanya ndugu yenu. Buku saba haita kusaidia ndugu zako wanakufa kwa kuonewa. Subiri yakukute kwa ndugu yako wa damu. Sasa hivi unashangilia kwa wenzio bado zamu yako. Kaulize huko Kaliuwa wanavyo onewa na familia ya huyu bedui unaemtetea.
 
he is a disgarace to all men in tanzania! puuuuuuuuuuuuuuuuu! tufyakwa!!
 
1426701_460511697403590_2008442369_n.jpg


ushahidi huo hapo wewe tomaso,hapo anapima oil ya hiko kibinti,mzee bazazi huyu...

hili zee jinga sana!
Lione sura yake.inasemekana bungeni ni ngono tu kutwa mara tatu......aibu!
 
Back
Top Bottom