Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,799
Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
Mkuu umelipia Kodi channel yako na inakuwaje legend Kama wewe una video moja
Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
View attachment 1658284
Hao ndio manabii wa niyuu jenelesheniHuyu jamaa kapinda kweli kweli! Naye ni nabii? Anahubiri ngono??
Kwa Suguye Matembele ya Piliduh kanisa gani hili aisee
Umeona eh. Nabii anataka mchapane ma DOGG POUND GANGSTA, GANGSTAZ PARADISE kama General Galadudu alivyotuusiaHaya sasa injili saivi ni ubunifu sio Neno la Mungu🤣🤣🤣🤣
DuhhhhAisee.....mapimbi na misukule ipo inakenua meno kushangilia
Ilitakiwa afundishe styles mpya.Mchungaji anapinga kwa nguvu zote style ya juma na roza. Anataka mbuzi kagoma kwenda mara sakayonsa na nyingine
Umeona eh. Nabii anataka mchapane ma DOGG POUND GANGSTA, GANGSTAZ PARADISE kama General Galadudu alivyotuusia
Jando na unyago wa zama hizi sio mchezo yaani mchungaji inabidi ajitoe ufahamu ili kuvutia waumini waje kanisani kwakeIlitakiwa afundishe styles mpya.
Happy Kuna sadaka ya kutolewa, sadaka ya kuboresha tendo la ndoa, kuongeza nguvu za kiume na kuongeza sperm count.Jando na unyago wa zama hizi sio mchezo yaani mchungaji inabidi ajitoe ufahamu ili kuvutia waumini waje kanisani kwake
Linapatikana Kivule Matembele Ya Piliduh kanisa gani hili aisee