Up Date: Jumba la Ukweli linauzwa TABATA KISIWANI bei kuanzia MIL 150

Tegelezeni

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
268
124
-Imejengwa katika kiwanja # TB/TK/89

-Iko umbali wa kilomita moja kutoka Mwananchi MCL au SDV-AMMI pia kupitia Tabata Mawenzi, kituo cha Savanna, umbali ni huo huo wa Kilomita moja

-Ni nyumba mbili kwa moja, kila upande una vyumba viwili, master, sebule, kitchen, dinning, stoo, choo na bafu na imezungushiwa ukuta na mageti mawili kwani kila upande unajitegemea

-iko kwenye mtaa nyuma ya uwanja wa mpira wa TWIGA na unafikika kirahisi

-Nyumba haijakamilika na bei inaanzia 150M, na inapungua kulingana na maelewano

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mzee BEKA kwa simu namba +255 715 263682


SAM_1141.JPG SAM_1143.JPG SAM_1149.JPG SAM_1152.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom