Uozo wa ufisadi wa Chenge: Kwanini UVCCM hawajaandamana hadi sasa?

Hapo baadaye chenge anaweza kuisaidia sana Tanzania kuibua wezi wakuu. nina imani chenge siyo mroho na mjinga kiasi hicho, ila kuna kitu kinaendelea ndani kwa ndani na genge kubwa la wezi, na chenge atakuwa shahidi mzuri sana. aliposema 1.6B ni vijisenti, ina maana kuna wengine anaowajua walichukua kubwa zaidi. kwa sasa amekata rufaa kwenda mahakama kuu huko huko wapo akina mjuluzi waliokula pamoja naye hela ya escrow. chama chake kipo kimya kuhusu chenge, kinaogopa kwa sababu mwizi mkubwa yumo ndani ya hilo chama. iko siku watanzania watakuja kujua hapo baadaye mwizi mkubwa ni nani. joka kubwa lipo limevimba likitafuna hela na uhai wa waTZ, lakini mungu si athmani, yatakuja kuwekwa hadharani.
 
Mkuu hii habari ya ufisadi wa Chenge si tu unatia kinyaa, bali sasa unavuka mpaka.Kama uongoxi serikslini hsuwexi kumchukulia hatua, chama je? na jumuia zake kama UVCCM.

Mkuu,
CCM wote ni Mataahira,sana sana wataishia kuandamana kumpongeza
 
Wakiandamana si watakuwa wanajiondolea uwezekano wa kuteuliwa kuwa wakuu wa wilaya!
 
Kwa miaka kadhaa nilikuwa nachanganywa sana na baadhi ya hatua zilizokuwa zikichukuliwa hasa na serikali ya awamu ya kwanza kuwaweka baadhi ya watu under house arrest even for years bila kuwafikisha mahakamani..

Ila sasa mambo haya ya kina Chenge na sarakasi za legal protocol nimefumbuka sana. Kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu kuwa na alternative mechanism nje formal system ni muhimu sana ili kuifanya dola iheshimiwe.
 
Mkuu kama dhamira ya kumchukulia hatua mzee Chenge haipo hata tukiweka sheria gani yeye atatamba tu kuwa nyoka mskengezs.
Hatua za kuchukua zipo nyingi sana ikiwa ni pamoja na za kisiasa.

Mbona Mwalimu aliwachukulia hatua , tena za kisiasa, watu wakubwa zaidi?
Kinachoendelea ni Chenge kuruhusiwa kuwadharau wananchi na mamlaka zilizomfikisha hapo alipo.
 
Hapo baadaye chenge anaweza kuisaidia sana Tanzania kuibua wezi wakuu. nina imani chenge siyo mroho na mjinga kiasi hicho, ila kuna kitu kinaendelea ndani kwa ndani na genge kubwa la wezi, na chenge atakuwa shahidi mzuri sana. aliposema 1.6B ni vijisenti, ina maana kuna wengine anaowajua walichukua kubwa zaidi. kwa sasa amekata rufaa kwenda mahakama kuu huko huko wapo akina mjuluzi waliokula pamoja naye hela ya escrow. chama chake kipo kimya kuhusu chenge, kinaogopa kwa sababu mwizi mkubwa yumo ndani ya hilo chama. iko siku watanzania watakuja kujua hapo baadaye mwizi mkubwa ni nani. joka kubwa lipo limevimba likitafuna hela na uhai wa waTZ, lakini mungu si athmani, yatakuja kuwekwa hadharani.
Chenge ndo tundu la sindano la ukweli juu ya ufisadi nchini.
Inabidi JK apite hapo kuibua ufisadi nchini-tunatazamia miujiza!!!!
 
Miaka yetu ya UVCCM tayari tungekuwa barabarani tukipinga wizi huu wa mali ya watanzania.

UVCCM KWANINI HAMUANDAMANI KUPINGA UOZO HUU?
Mkuu, UVCCM ya sasa hawawezi kuandamana bila kulipwa posho! Bahati mbaya zaidi mlipaji posho mwenyewe yumo kwenye syndicate ya Chenge huyohuyo, kwahiyo posho haitoki. Usitake kujilinganisha enzi zenu na wao waliopo sasa. Utajidhalilisha bure!
 
Mkuu kama dhamira ya kumchukulia hatua mzee Chenge haipo hata tukiweka sheria gani yeye atatamba tu kuwa nyoka mskengezs.
Hatua za kuchukua zipo nyingi sana ikiwa ni pamoja na za kisiasa.

Mbona Mwalimu aliwachukulia hatua , tena za kisiasa, watu wakubwa zaidi?
Kinachoendelea ni Chenge kuruhusiwa kuwadharau wananchi na mamlaka zilizomfikisha hapo alipo.
siyo kwa sababu wanaopaswa kuchukua hatua pengine si wasafi kama anavyofikiriwa yeye?
 
Kwa mtu mwenye kufikiri kwa makini, kuwapa ccm kura yako ni sawa na kuwachimbia wanao, na wajukuu wako kaburi! CCM kuna watu hatari sana wasiokua na chembe ya hofu ya MUNGU.
 
Kwa miaka kadhaa nilikuwa nachanganywa sana na baadhi ya hatua zilizokuwa zikichukuliwa hasa na serikali ya awamu ya kwanza kuwaweka baadhi ya watu under house arrest even for years bila kuwafikisha mahakamani..

Ila sasa mambo haya ya kina Chenge na sarakasi za legal protocol nimefumbuka sana. Kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu kuwa na alternative mechanism nje formal system ni muhimu sana ili kuifanya dola iheshimiwe.
Na hii itarudisha heshima ya serikali.
 
Ccm wanatakiwa kufukuza Chenge haraka sana kwani kaburi la ccm limebakia kwa Chenge na watuhumiwa wote wa escrow
 
Ccm msingi wake ni ufisadi na fisadi mkuu numerous uno ni Andrea sasa wakimgusa si chama kitakufa Leo leo
 
Back
Top Bottom