Uozo wa Takukuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uozo wa Takukuru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by uporoto01, Oct 3, 2008.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkurugenzi wa Takukuru mkoa wa Tabora kaswekwa selo na kufunguliwa mashitaka baada ya kumpiga hadi kupoteza fahamu Mganga mkuu wa mkoa wa Tabora aliekua anamhoji.Kisa cha mganga kupigwa eti aseme anapata wapi hela za kulewea kila siku.Mtu mwenye upeo huu tutegemee nini kutoka kwake? na vita dhidi ya rushwa sidhani kama itafaidika na ufatiliaji wa kiasi cha bia kinachonywewa na watu.Ingekua huyo mganga anajenga hekalu labda kidogo ningeweza kuelewa.
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh! Hii mbona kali,inanikumbusha yale mambo ya 70's and 80's.
   
Loading...