Uozo: Shida zote nchini gazeti laandika na kutoa kipaumbele habari za Ujauzito wa Mchumba wa Slaa!!

Hizo hizo kodi zetu ndio zinalipa posho ya Slaa dokta wa kanoni asiye na digrii hata moja.

Nina wasiwasi na hiyo digriii uliyonayo wewe, na sijui ulipata wapi. Umeshalishwa unga wa ndele, Huoni tena matatizo ya nchi na kuangalia mtu kasema nini ila unachoona ni nani kafanya nini. Wewe kwa elimu uliyonayo niambia hii syllogism kama ni sahihi ili upime akili yako


1.Raisi bora na kiongozi mzuri ni yule ambaye hajazaa nje,
Raisi Kikwete hajazaa nje,
Hivyo basi, Raisi Kikwete ni Rais bora na Kiongozi Mzuri.

2. Rasi bora na kiongozi bora ni yule anayetatua matatizo ya watu wake na anayejua kwa nini watu wake ni maskini,
Raisi Kikwete hajatatua matatizo ya watu wake na wala hajui kwa nini Tanzania ni Maskini(wala haijui Dowans!!!)
Hivyo basi, Raisi Kikwete ni Rais Bora na kiongozi Mzuri .
( Mie naona tukimalizia kwa kibwagizo hiki utafurahi) maana wewe unasema Dr Slaa hana digrii hata moja. Sasa wewe kwa vile ni mtaalamu hebu jenga premises kibao kuhusu Kikwete na hoja yako ya kuzaa nje maana wewe hukuzaliwa nje na wala wewe huzaliwi na mke wapili wala wa tatu kwa Mzee wako, alafu utupe majibu.
 
siasa za maji taka. Hata kama mnataka kuuza lazima mfikirie heshima yenu. Pumbafu yenu.
 
Back
Top Bottom