Uozo Mtupu UVCCM...Matamko Kila Siku Wakati Number ya Simu ya JK na Pinda Wanazo.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uozo Mtupu UVCCM...Matamko Kila Siku Wakati Number ya Simu ya JK na Pinda Wanazo....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 1, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila leo nasikia UVCCM wakisema wanataka viongozi wa serikali wafocus na kazi na wanataka CCM isije ikawa chama cha upinzani. Hivi UVCCM ni chama kingine cha siasa? Hili si Tawi la CCM/TANU? Mbona UVCCM ni vichaa hawa. Siku Kamati Kuu inakaa si baadhi ya wajumbe wanatoka UVCCM? Kweli kuna wananchi wanawapa nafasi kuwasikiliza maneno hema kama mikataba waliosaini kuwamaliza watanzania. Viongozi wa UVCCM wanalipwa na chama CCM na wanapo safiri na kuhudhuria hii mijadala wanasafiri na magari ya CCM na hayo magari na pesa wanazo kula ni kutoka kwa Rostam na ni hii mikataba ya Dowans tunaizungumzia tukilia. Wanawazunguka watanzania kama mpira wa manati. Number ya simu ya Kikwete na Pinda ipo kwanye cell phones zao na wakitaka kwenda majumbani, Ikulu au kwa Pinda wana ruhusiwa muda wowote ule hata makazini kwa mawaziri wowote wale. Haya maneno wanayozungumzia utafiri walikuwa UK au Russia na wamerudi na wanapewa habari mpya kwa sababu wao ni chama kipya. Jamani tuache kuchakachuliwa na UVCCM na mtu yeyote yule kutoka CCM, wanachotaka ni kuendelea kututesa na kutuibia mali zetu. Wananchi wanaendelea kufa hivi tunaongea wakati Rostam yeye anaondoa mali zake anapeleka Tehran.
   
 2. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Niliwahi kunena kuwa hawa vifaranga ni wahuni,genge la wahuni..
   
 3. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama wana masikio tamko la mawaziri wa mikopo wa vyuo vikuu litakuwa limeizindua uvccm kutoka usingizini; haina budi ikakaa ikijua ya kuwa haiwakilishi tena vijana hapa nchini.
   
 4. A

  Anaruditena Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawana lolote; ni wanafiki na ni kuchafua hewa tu - wanatumiwa na mafisadi. Mbona hawasemi kwenye vikao - CCM - CC na NEC. Vijana hawadaganyiki tena na vipesa vyenu za Rostam na Lowasa
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hawa ni wahuni watupu,utafikiri wamekurupushwa kutoka usingizini!!
   
 6. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tushawazoea hawa kama waimba taarabu
   
Loading...