Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 952
- 1,293
Mkuu hilo ni eneo la wazi, haparuhusiwi kujenga makao ya kudumu si unajua bomoabomoa tenauwanda mzuri kabisa, very green, pafaa kwaajili ya mapumziko. mtoa mada hili eneo lauzwa au kwaajili ya public use? kama haliuzi hata kama nikukodisha kwa matumizi binafsi pia kwangu poa. Ili eneo pia naona ni kubwa kwa nyumba lakini kwajuu kule kwenye parking ya magari ni padogo sana, hii ni kawaida kweli?
Si ndio, ama???Uoto wa asili, eti???
Mkuu hapo ni tambarare mbona sioni kichuguu.....cheki hiyo green vizuri iko flat kabisangoja nipite tu. Ana kichuguu au
Mkuu hiyo green sio natural kumbe?Asanteni wachina kwa utundu wenu...
Mbeya kubwa kiongozi......nielekeze vizuriMbeya hiyo kaka!!