Uongozi wenye vision ya taifa 'Visit Rwanda', uongozi usio na vision ya taifa lao 'Samia no.1'

Uongozi wenye vision ya taifa 'Visit Rwanda', uongozi usio na vision ya taifa lao 'Samia no.1'

1000347581.jpg
1000347581.jpg
 
Kagame ni rais wa rwanda toka wewe hujazaliwa hivyo anaitangaza kampuni yake (rwanda)
 
Hakika 2015 nchi ilipata ajali mbaya sana kuwahi kutokea ni zaidi hata ya 2005.
 
Hivi sasa wazungu wanapigana vikumbo kuja Tanzania kumuona Samia rais pekee mwanamke barania Afrika na duniani pote.
 
Wametangaza utalii kombe la dunia , umekaa kimya ..unapenda kujilinganisha , kuwa makini na jinsia yako
 
Back
Top Bottom