xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,378
Jambo wote?
Sote ni mashahidi jinsi shirika la afya duniani linavyo shughulikia hili swala la Covid19 wameonyesha kushindwa. Ni miezi 7 sasa tokea Corona igunduliwe na ikiwa imeua zaidi ya watu nusu milioni duniani kote, je nafasi yao ni ipi?
Kwanini uongozi ujiuzulu?
walichelewa sana kufuatilia /kuujua huu ugonjwa kwa maana ya tokea siku ulivyo vuja kutoka pale maabara ya Wuhan
inawezekana walikua na taarifa ila kwa kuwategea wachina wafe kwanza au wajitibu bila ya kuwapo kwa mkono wa who myb kwa kufuata ushauri wa mabeberu au katibumkuu wa who ndo kukasababisha kuwa Pandemic.
walichelewa kuutangaza kama janga la kimataifa
Hata pale idadi ilipo anza kupanda bado hawakuona umuhimu wa kuutangazia ulimwengu ili kuchukua tahadhari je nini kilichosababisha?
Njia za kuzuia kuenea na kuudhibiti sote ni mashaidi hadi leo sasa hivi hawajaja na njia bora ya kuifata zaidi ya kurukaruka mara lockdown mara curfew mara barakoa mara social distance na hakuna hata 1 iliozaa matumaini zaidi ya wao wenyewe who kuzikana kwamba hazina maana yoyote
Who walichelewa kutoa muongozo wa je huu ugonjwa ni hatari kiasi gani
Lakini pia hadi leo miezi 7 tokea uanze hawana kazi yoyote wanao ifanya zaidi ya kujipatia mamlaka ya kutangaza vifo na idadi ya wagojwa tu yani wametutelekeza.
Au labda mie sjui kazi zao naomba nisaidiwe ni kwa nini wanashindwa kui-organise dunia kuuchambua huu ugonjwa na kuja na muongozo 1 for the sake of international health?
Ni mengi hayapo sawa ila kwa kuanzia na hayo hapo juu je haitoshi uongozi wa who kujiuzulu?
'Karibuni tujadili 'great thinkers.