Uongozi wa TBL wajilipa fedha za mfuko wa wafanyakazi bila ya idhini ya bodi ya wadhamini wa mfuko huo

MALIGANYA MALIMBE

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
280
206
Mnamo mwaka 1998,Uongozi wa TBL wa wakati huo kwa kushirikiana na Chama cha wafanyakazi walianzisha mfuko wa wafanyakazi,Ambao pamoja na malengo mengine,Ililenga kuwasaidia wafanyakazi pale wanapoacha kazi/kufukuzwa /kustaafu.
Fedha za mfuko huu ulihifadhiwa katika account ya banki -CRDB A/CC NO.........

itaendelea baadaye................
 
Daaaaah.....hata kwenye taarifa kama hiyo unajaribu kuweka episode???

Yote haya kayataka Chama dume.
 
Bodi Uongozi wa TBL,Bila ya kujali kuwa mfuko huo uko chini ya bodi ya udhamini,Waliamua kufoji nyaraka na kuunda bodi bandia ili kujichotea fedha hizo kunyume cha sheria na kujigawia Mithili ya FEDHA ZA MICHANGO ya harusi inavyogawanywa katika kamati zake.

NINI MALENGO YA MFUKO HUO:
Mfuko huo ulianzishwa mwaka 1998 kwa lengo la kuwasaidia wafanyakazi wanaostaafu /kuacha kazi/ au kufukuzwa ili iweze kuwasaidia katika kuendesha maisha yao.
Beneficiaries wa mfuko huu walitakiwa kuwa wafanyakazi wote ambao waliajiriwa kuanzia mwaka 1998 kurudi nyuma hadi mwaka 2006 tu.Wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2007 hawakuwa beneficiaries wa mfuko huu.

UTUNZAJI WA FEDHA HIZI:
Fedha hizi zilitunzwa katika Benki ya CRDB,Tawi la Vijana.ACC/NO: 0150408163460
Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko huu alikuwa ni ARNOLD KILEWO-DG.WA ZAMANI WA TBL.
JE AKINA NANI WALIJICHOTEA FEDHA KUTOKA MFUKO HUU BILA IDHINI YA BODI
 
Bodi ya Uongozi ilikua ikiongozwa na nani? unaposema bodi ya uongozi unafanya reference na ile iliuoongozwa na Cleopa D Msuya?! kama jibu ni ndiyo..unaulizaje swali wakati majibu yako bayana?

Kumekua na viongozi wangapi Wa bodi na ma DG Wa TbL tangu wakati mfuko huo unaanzishwa?

Mtoa mada una jambo..na unajua majibu yake ..nashawishika kusema una ajemda ya siri..hasa hasa "Character assassination"

Nashauri tu ..njoo na taarifa sahihi..nadhani hata uki Google uongozi Wa tbl unapatikana sivyo??
 
Bodi Uongozi wa TBL,Bila ya kujali kuwa mfuko huo uko chini ya bodi ya udhamini,Waliamua kufoji nyaraka na kuunda bodi bandia ili kujichotea fedha hizo kunyume cha sheria na kujigawia Mithili ya FEDHA ZA MICHANGO ya harusi inavyogawanywa katika kamati zake.

NINI MALENGO YA MFUKO HUO:
Mfuko huo ulianzishwa mwaka 1998 kwa lengo la kuwasaidia wafanyakazi wanaostaafu /kuacha kazi/ au kufukuzwa ili iweze kuwasaidia katika kuendesha maisha yao.
Beneficiaries wa mfuko huu walitakiwa kuwa wafanyakazi wote ambao waliajiriwa kuanzia mwaka 1998 kurudi nyuma hadi mwaka 2006 tu.Wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2007 hawakuwa beneficiaries wa mfuko huu.

UTUNZAJI WA FEDHA HIZI:
Fedha hizi zilitunzwa katika Benki ya CRDB,Tawi la Vijana.ACC/NO: 0150408163460
Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko huu alikuwa ni ARNOLD KILEWO-DG.WA ZAMANI WA TBL.
JE AKINA NANI WALIJICHOTEA FEDHA KUTOKA MFUKO HUU BILA IDHINI YA BODI
Tuambie sasa nan alchkua fedha, na umejuaje kama zimechukuliwa
 
Bodi ya Uongozi ilikua ikiongozwa na nani? unaposema bodi ya uongozi unafanya reference na ile iliuoongozwa na Cleopa D Msuya?! kama jibu ni ndiyo..unaulizaje swali wakati majibu yako bayana?
BODI YA MFUKO HUO ULIKUWA CHINI YA BODI UDHAMINI Iliyoongozwa na Arnold Kilewo. Msuya ni mwenyekiti wa bodi ya TBL
 
Tuambie sasa nan alchkua fedha, na umejuaje kama zimechukuliwa
Corpotare afffair director kajilipa zaidi ya milioni 100 ili hali siyo beneficiaries wa mfuko huo....(hana shares za TBL)
HR Director
Finance Director
Company's secretary
,.....................................
 
Edit Uzi wako na uwataje hao kwa majina..corporate affairs wakipindi gani? 1998-2006? au 2006-2018? na kama ndio..kipindi hiko beneficiaries walikua wapi kuhoji? hamna vikao? unataka kutuaminisha kwamba tangu kipindi hiko (1998-2018) hakuna retrenchment iliyopita au watu kustaafu? dude..hebu kua serious basi!

1998 nilikua la kwanza..mpk nimezeeka!
 
Wewe Malinganya Malimbe ni mchawi...ulipitoka TBL ulikuwa unajua hayo...kilichokufanya usidai ni nini?unaona gele baada ya kitaa kukupiga halafu unataka kuleta ujinga JF...nenda mahakamani acha uchawi...we are not interested..OVA
 
Mtoa mada kajipange urudi tena humu na taarifa zako za kifedhuli unataka kuwafanya watu humu kama watoto wadogo??? Hao waajiriwa ambao walistaaafu kabla ya mwaka 2006 mpka kufikia 1998 unataka kunambia kipindi chote hicho hawakulipwa hela zao hizo ambazo zilikuwa zinawekezwa kwa ajili ya kuwasaidia pindi watakapostaafu???? Unataka kunambia kipindi chote hicho hela zimekuja kuliwa leo ndo hao wastaafu waanze kulalamika?? Wakati wanaachishwa kazi au kustaafu mbona hawakwenda mahakamani kama walinyimwa stahiki zao?? Na swali la mwisho je hizo hela zilikuwa zinakatwa mifukoni kwao hao wastaafu kama ilivyo nnssf au michango mingine??? Ukishindwa kunijibu ntajua umetumwa
 
Back
Top Bottom