Uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere wafanya mazungumzo na ACT Wazalendo

Kadini

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
540
2,666
#TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA

-Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ukiongozwa na mkurugenzi wa taasisi ndugu Joseph Butiku na kufanya mazungumzo katika makao makuu ya chama.


E-wYCJ3WEAAzuA4.jpg

Uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (Mwalimu Nyerere Foundation-MNF) ukiongozwa na Mkurugenzi wake Ndugu Joseph Butiku umetembelea Makao Makuu ya ACT Wazalendo na kufanya mazungungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Ado Shaibu Ado.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom