Uongozi wa Simba: Mmechafuliwa Kenya na Zambia chukueni hatua

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,661
Jamani sven kasema lini kwenye interview haya maneno? Nimeamini utopolo wako vizuri kwenye propaganda ila uongozi wa sasa kama mazezeta hivi ..Chukueni hatua kwa huyu blogger haraka sana

First ilkuw a page ya kikenya inaitwa african sports today wao walisema tu remarks zake hazikuupendeza uongozi ghafla dakika chache zilizopita huyu mwandishi namba moja wa michezo huko zambia anaitwa bwezani kaandika hii report...Kama mkiaa kimya ni juu yenu bwana

Bwezani With Zambian Football

50m ·

SVEN AND THE SIMBA STORIES
Former Zambia National Team Coach Sven Vandenbroeck has exposed Simba SC badly in a storm of spiteful spats with employers, that could have led to him being fired from the job.

The young Belgian coach has had some bitter words towards the Simba SC management accusing them of underhand dealing in their quest to win matches.

The popular and moneyed Tanzanian side are a two days away from smarting Zimbabwean champions FC Platinum via 4nil drubbing and qualifying to the next round on 4-1 aggregate.

It is of note, the Zimbabwean champions played that match under protest. As the claim unfair treatment regarding the Covid-19 testing of their entourage. Zimbabwean media and that of social media is awash with reports that the Covid-19 testing targeted star players from Zimbabwean side so as to get them out of play.

And unfortunately, the timing for Plasto as the Zimbabwean champions are affectionately called by their fans in Zvishavane town in the midlands province of Zimbabwe, had only two hours before the match to seek a second opinion regarding the tests. Worse, they were told Dar es laam has only got one testing centre. Which was overwhelmed.

CAF has to watch this as it happening under their watch. Reports say Nigeria side encountered a similar situation but the outsmarted their hosts. Seemingly, they had inside details of the shenanigans in Tanzania.

These accusations as they might appear seems to getting traction and it will important for CAF to get to the bottom of it. This abuse of the deadly pandemic as route to success is both unsportsmanlike and barbaric at best. Issuing some fake medical results is traumatizing nature.

But Sven had this spat to add impetus to the protest FC Platinum are on, “We could do without this noise about tampering with Covid-19 results of opponents. It is so unnecessary and taints the name of this very big club because these players work so hard to perform.

“As Simba SC we are good enough to win games without using COVID-19. The public outcry about this, makes even the wins very hollow. That is not the spirit of FIFA fair play. We surely can do better and as a club let us work to improve our football,” he told the Simba hierarchy, just moments after the embarrassing 4-0 win over a very frustrated FC Platinum on Wednesday.

This could have the led to him being shown the door
The response the Simba Chiefs was as arrogant as they come: “We know what we are doing and we are aware who won us qualification to group stages. It was certainly not you or your efforts, so stop telling us Yanga (Young Africans) stories here.

“We are Simba (lion). We hunt to kill and prey and we have the money to do all our projects”. These words are being attributed to iron lady at Simba SC, theCEO Barbra Gonzalez.

We await to see the reaction of CAF in the spate of these accusations that fly high in the face football and can easily spoil the name of the game.

Asante Kotoko of Ghana had similar complaints in Sudan regarding Covid-19 testing issues. And the Ghanaian giants simply packed their bags and left with kicking the ball.
 
Achana nao
hapana mkuu unajua kidogokidogo haya maneno itaonekana kweli..utopolo wanafanakiwa sana huyu jamaa wa zambia bwezani huwa nachati naye sana nimetoka kumuuliza kapata wapi info?anionyeshe hizo clips za barbra na sven hana jibu kabisa hata zambia nkana walishawahi kumpiga marufuku kuingia uwanja wao...ukisoma comments kwenye hizo page hadi wa west africa wanaamini Tanzania hakuna. mpira simba inashindaje?wanaamini haya maneno
 
Fedha za MO ndizo zinazo ibeba Simba kuanzia kuhonga Marefa, ku fake vipimo vya covid kwa timu pinzani, kutumia waganga wa mapaka ndio maana coach anaoekana anakula fedha za bure wamemtimua, Kwasasa Babra Ana andaliwa kuchukua mikoba ya kocha.
 
Kabla ya Covd19 watu walishachezea vichapo kwa Mkapa, na CAF inajua hilo. Itapuuzwa na itapita. Kama ni blog, mtu yeyote anaweza akawa nayo na akaandika chochote, hasa kama hawana mamlaka zinazowabana wamiliki na waandishi kama huku kwetu
 
hapana mkuu unajua kidogokidogo haya maneno itaonekana kweli..utopolo wanafanakiwa sana huyu jamaa wa zambia bwezani huwa nachati naye sana nimetoka kumuuliza kapata wapi info?anionyeshe hizo clips za barbra na sven hana jibu kabisa hata zambia nkana walishawahi kumpiga marufuku kuingia uwanja wao...ukisoma comments kwenye hizo page hadi wa west africa wanaamini Tanzania hakuna. mpira simba inashindaje?wanaamini haya maneno
Unaamini ivyo? 2019 kulikua na story hizo? CAF ni professional hawafatiliaji ujinga
 
Fedha za MO ndizo zinazo ibeba Simba kuanzia kuhonga Marefa, ku fake vipimo vya covid kwa timu pinzani, kutumia waganga wa mapaka ndio maana coach anaoekana anakula fedha za bure wamemtimua, Kwasasa Babra Ana andaliwa kuchukua mikoba ya kocha.
Wewe utaendelea kuumiza roho yako lakini CAF tangu zamani kabla ya Covd19 inajua Simba ni moja ya timu kubwa kabisa barani Africa, kupiga mtu goli 4 ni kitu cha kawaida, hata Yanga wanatambua
 
Fedha za MO ndizo zinazo ibeba Simba kuanzia kuhonga Marefa, ku fake vipimo vya covid kwa timu pinzani, kutumia waganga wa mapaka ndio maana coach anaoekana anakula fedha za bure wamemtimua, Kwasasa Babra Ana andaliwa kuchukua mikoba ya kocha.
 
Tunatoboa
IMG-20210108-WA0029.jpeg
 
Unaamini ivyo? 2019 kulikua na story hizo? CAF ni professional hawafatiliaji ujinga
Caf ni wala rushwa kamishna wao wa mchezo akihongwa ndo basi tena hakuna oa kulalamika. Kama rais wa Caf kala rushwa, hawa kina Karia wafanyeje
 
hapana mkuu unajua kidogokidogo haya maneno itaonekana kweli..utopolo wanafanakiwa sana huyu jamaa wa zambia bwezani huwa nachati naye sana nimetoka kumuuliza kapata wapi info?anionyeshe hizo clips za barbra na sven hana jibu kabisa hata zambia nkana walishawahi kumpiga marufuku kuingia uwanja wao...ukisoma comments kwenye hizo page hadi wa west africa wanaamini Tanzania hakuna. mpira simba inashindaje?wanaamini haya maneno
Kama hamna mpira tunawafungaje al haily au tuliwatoaje zamalek wakati wakiwa mabingwa.
Historia ya Simba inafahamika Afrika kwani ndio timu pekee ilifungwa kwao nne ikaenda ugenini ikabadilisha matokeo
 
Caf ni wala rushwa kamishna wao wa mchezo akihongwa ndo basi tena hakuna oa kulalamika. Kama rais wa Caf kala rushwa, hawa kina Karia wafanyeje
Hamna Cha rushwA mpira ni uwanjani ukishindwa hamna pakutokea Raja Casablanca alikua kwao kacheza uwanja umejaa maji katolewa... Esperance vs wydad Casablanca waligoma kuendelea na mechi na walikua na hoja ila mechi haijarudiwa na Esperance akawa bingwa mpira uwanjani mzee nje ya uwanja ni utumbo
 
Hadi Leo katika page yao ya CAF wameiweka mechi hii Kama come back bora
Achana na hao UTOPOLO Wanasimba kamili tuanze kujiandaa na MAKUNDI YA KLABU BINGWA hao mbwiga mbwiga wanaopiga kelele kwenye matope ya Jangwani achana nao kwanza mashabiki wao wooote kwasasa ni Wazee ama wastaafu now miaka 5 ijayo Yanga itakuwa na poor fan base, take my words mkuu.
 
...ukisoma comments kwenye hizo page hadi wa west africa wanaamini Tanzania hakuna. mpira simba inashindaje?wanaamini haya maneno

Lazima waamini hata kama si kweli..

Tatizo wanafungwa goli nyingi sana wakicheza ugenini (5-0) ndio maana inakuwa rahisi mtu kuamini..

Nature ya utani wa jadi wa Simba SC na Yanga ndio husababisha ujinga huu bila kuelewa kwamba tunajiabisha kama nchi.

Sitoshangaa kabisa kuwa "watu wa Yanga" wamemlipa huyo mwandishi kuandika hiyo habari..
 
Yang wanafanya misinformation za kufa MTU tangu mwaka juzi iliwachanganya hadi as vita,platinum wamekuwa wastaarabu wamepongeza simba kwenye website yao ingawa walirukia madirishani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom