Uongozi wa Nyerere na haja ya Katiba mpya

Suala ni muda na katiba. Surely katiba tuliyonayo imepitwa na wakati, ni vizuri tuihuishe iende na zama hizi!!!
 
Majority ya Watanzania walimwuunga mkono Mwalimu Nyerere. That is a fact. Mabepari wachache did not.

Sio mabepari tu pekee bala hata wananchi wa kawaida wengi wasio mabepari waliona mbali na walishajua siasa za ujamaa za mwalimu zilikuwa na mapungufu mengi na zisingefanikiwa, kitu mbacho baadae ilikujakuwa kweli
 
Sina hakika na Shivji lakini Mwanakijiji atakuwa kwenye wakati mgumu sana hasa akifikiria kwamba katiba iliyopo ni zao la utawala wa awamu ya kwanza. Angetamani leo atamke kwamba katiba hii ilitengenezwa na Kikwete ili amtwishe mzigo huo kwa chuki tu. Thanks God ni Kikwete huyo huyo ndiye sasa aliyeamua ku-midwife upatikanaji wa katiba mpya.

..mkuu kama angeamua kuwa mkweli usingethubutu kusema hicho nilicho-bold hapo juu! Badala yake ungesemwa ameshinikizwa na hoja za Vyama vya Upinzani partcularly CDM!. Kama huna kumbukumbu kiasi hicho ni miezi michache tu imepita wakati wa Uchaguzi Mkuu Octoba 2010, CCM ilikua haitaki kabisa kusikia kitu inatwa Katiba Mpya. baada ya pressure wame-give-in kitu ambacho ni kizuri...
 
Manung'uniko ya chinichini yalikuwa mengi mno wakati JKN alipokuwa raisi na siasa zake za ukomunisti. Hata huo ujamaa wake watu wengi hawakuutaka kabisa na waliupinga kichinichini na hakukuwa hotuba ya kulazimisha watu ila mazingira aliyoyatengeneza wakati akiongoza nchi ilikuwa huna jinsi ya kumpinga ukijaribu unapotea. Kasanga Tumbo, Kambona na wananchi wengi akiwemo mzazi wangu walijaribu na umeona waliishia wapi?

Now am getting the point, Kumbe mzazi wako naye alijaribu kuvunja miiko ya uongozi ulitarajia iweje?
 
Nyerere hakuwa dikteta, aliwapa watu kazi ya kundaa katiba na walifanya hivyo, tena wapo mpaka leo hii

nakumbuka 1994 wakati ccm wanafanya mabadiliko ya katiba nyerere aliwapinga sana akawaambia mabadiliko ya katiba yafanywe na watanzania wote,

vile vile namnukuu katika hotu yake moja alisema wazi katiba yetu ni mbaya sana, siku tukipata rais dikteta tumekwisha
 
Manung'uniko ya chinichini yalikuwa mengi mno wakati JKN alipokuwa raisi na siasa zake za ukomunisti. Hata huo ujamaa wake watu wengi hawakuutaka kabisa na waliupinga kichinichin
i na hakukuwa hotuba ya kulazimisha watu ila mazingira aliyoyatengeneza wakati akiongoza nchi ilikuwa huna jinsi ya kumpinga ukijaribu unapotea. Kasanga Tumbo, Kambona na wananchi wengi akiwemo mzazi wangu walijaribu na umeona waliishia wapi?

Miaka hiyo haikuwepo habari ya kupinga kichinichini. Ilikuwa mapinduzi kwa kwenda mbele na kwa mujibu wa katiba, kupindua serikali ni uhaini. Kwa kifupi nadhani wote uliowataja hapo juu walihusika kwa namna moja au nyingine kutaka kumpindua Nyerere na Nyerere anajua nini maana ya kupinduliwa na ndio maana ktk jaribio moja alikwenda kujificha na Kawawa Kigamboni-ilikuwa ama zake, ama zao!

Wakati tunawalilia akina Kambona na Kassanga Tumbo, tumlilie pia Stan Katabalo,mwandishi nguli aliyeuawa kwa kutetea maliasili ya nchi yetu (Loliondo). Tumemsahau huyu mwandishi, tumesahau na mchango wake ndio maana wamekuja tena kutuibia, safari hii wanyama hai-KIA. Labda Stan angeuawa wakati wa uongozi wa Nyerere, tungekuwa na mengi ya kuongea.
 
Nyerere hakuwa dikteta, aliwapa watu kazi ya kundaa katiba na walifanya hivyo, tena wapo mpaka leo hii

nakumbuka 1994 wakati ccm wanafanya mabadiliko ya katiba nyerere aliwapinga sana akawaambia mabadiliko ya katiba yafanywe na watanzania wote,

vile vile namnukuu katika hotu yake moja alisema wazi katiba yetu ni mbaya sana, siku tukipata rais dikteta tumekwisha

Depending on who you ask, anawezakuwa ama hakuwa dikteta, silijui hilo sababu nilikuwa mdogo sana JKN akiwa madarakani, lakini the bottom line is alikuwa haambiliki wala kushaurika. Alichokiona kwake ni sahihi basi wote lazima mkione sahihi hata kama kina mapungufu which is wrong in administration. Mwuulize mzee Edwin Mtei
 
Now am getting the point, Kumbe mzazi wako naye alijaribu kuvunja miiko ya uongozi ulitarajia iweje?

Mzee wangu hakuvunja miiko yoyote ila nilimsikia akisema huu ujama umefeli duniani kote kwa hiyo haoni uhakika kama ungefaulu Tanganyika. Ni kweli
 
THE BOSS

si tu kwamba watu wanamsifia Nyerere and, at the same time wanaponda aliyofanya bila wao kujua hivyo.

kumbuka pia wanasema pia CCM haijawahi kutufanyia kitu cha maana tangu tupate uhuru, wanasahau wakishasema hivyo tayari Nyerere hajatufanyia kitu kizuri kwa muda aliokaa madarakani.

tataizo wanasahau kwamba kuku ni yai na yai ni kuku,

tatizo lingine bado ule mzimu wa zidumu fikra za mwenyekiti umeharibu vichwa vya watu, yale mabaya yalifichwa kwa ustadi kiasi cha kuchanganya sana watu,

with time wataelewa tu, pole pole ndio mwendo,
 
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!
 
Kuna vitu viwili vinaendelea hapa tanzania
na jf pia..............

Watu wengi wanazungumzia haja na madai ya kuwepo kwa katiba
mpya...
Ambayo itakuwa ya watanzania,ya wananchi.
Itakayowapa uhuru wao na mambo mengi kwa ujumla...

Watu wengi akiwemo issa shivji,mwanakijiji na wengineo

wamedriki kusema kusema au kuunga mkono kuwa

katiba iliyopo sio tu haifai,lakini haijawahi kuwa ya wananchi......

Wakati huo huo,kuna mjadala wa kumkosoa nyerere na utawala wake

mjadala ambao cha kushangaza wale wengi wanaomtetea nyerere kuwa

alikuwa kiongozi bora na wa mfano,
na ambae alikuja kabla ya wakati wake ndio hao hao wanaodai katiba hii tuliyonayo

haifai na haijawahi kuwa ya wananchi......
Ni katiba mbovu,inayowakandamiza wananchi,haiwapi nguvu na uhuru wa kutosha
na kadhalika......

Sasa hapa swali ninalouliza ni hili.............

Inawezekanaje nyerere huyo huyo ambae alikuwa

kiongozi bora sana,na wengine mkimwita ni nabii na mtakatifu aliyekuja kabla

ya muda wake.......lakini leo katiba ile ile aliyoitumia kutawala na kuitengeneza

tuseme haifai kabisa na haina uhalali na sasa tunahitaji mpya?????????????????????????????

Mind you kuwa hatuzungumzii mabadiliko ya katiba tu
tunazungumzia katiba mpya,katiba nyingine inayofaa na sio hii ya nyerere...

well ndiyo haya haya ya "Waziri apigwa rungu".... unaweza kabisa ukajishawishi kuwa nimewahi kusema hivyo lakini ukitafuta hutapata mahali popote. Ni sawasawa na watu ambao hudai "Nyerere aliwahi kusikika kusema" au "Inadaiwa Nyerere alisema"... ukiuwaliza lini na wapi wanaenda kutafuta nukuu za mtu ambaye naye anadai kuwa Nyerere "aliwahi kusema". Tatizo huwezi kuyapata hayo maneno yenyewe ya Nyerere.
 
Sio mabepari tu pekee bala hata wananchi wa kawaida wengi wasio mabepari waliona mbali na walishajua siasa za ujamaa za mwalimu zilikuwa na mapungufu mengi na zisingefanikiwa, kitu mbacho baadae ilikujakuwa kweli

Mbona Ugiriki sasa hivi hali yao ni mbaya sana na ni mabepari?Hapo napo (kama ulivyo ujamaa kwa TZ) ubepari ndo umeshindwa? Mi nadhani suala la msingi ni utekelezaji wa sera. Leo tunayo mipango mizuri mingi, lakin mwisho wa siku tija ni ndogo kwa sababu ya utekelezaji mbovu-sembuse kipindi hicho tulichokuwa na wasomi wa kuhesabu!

Ujamaa/Ukomunisti tunaoupinga na kudharau leo ndio umewatoa China. China unayoiona leo, misingi yake iliwekwa miongo mingi na Mwenyekiti Mao. Kitu cha msingi ni kwamba wameoboresha ili uendane na wakati wa sasa. Kimsingi, kwa sasa hakuna nchi inayojiendesha kwa ukomunisti au ubepari per se.
 
Ben, sina ushabiki kwa JK lakini nimejaribu tu kuonyesha jinsi Mwanakijiji alivyo na mania kwa Nyerere ambayo sasa inampa dilemma, na vile vile phobia yake kwa JK inavyomuweka mahali ambako angetamani kulaumu lakini imeshindikana. Mimi nimekuwa nikikosoa pale ninapoona JK anastahili kukosolewa, lakini siwezi kufanya kama mwenzetu ambaye tulipomlaumu Ngeleja kuhusu umeme yeye alimrukia JK akidai hata yeye alipita wizara hiyo hiyo, akimaanisha miaka 17 iliyopita na akijua kwamba baada ya JK wamepita mawaziri zaidi ya nane.
 
Mbona Ugiriki sasa hivi hali yao ni mbaya sana na ni mabepari?Hapo napo (kama ulivyo ujamaa kwa TZ) ubepari ndo umeshindwa? Mi nadhani suala la msingi ni utekelezaji. Leo tunayo mipango mizuri mingi, lakin mwisho wa siku tija ni ndogo kwa sababu ya utekelezaji mbovu-sembuse kipindi hicho tulichokuwa na wasomi wa kuhesabu!

Ujamaa/Ukomunisti tunaoupinga na kudharau leo ndio umewatoa China. China unayoiona leo, misingi yake iliwekwa karne na Mwenyekiti Mao. Kitu cha msingi ni kwamba wameoboresha ili uendane na wakati wa sasa. Kimsingi, kwa sasa hakuna nchi inayojiendesha kwa ukomunisti au ubepari per se.

Shamba la kijiji-lazima ukalime n'gwe yako la sivy utaishia rumande
Vyama vya kilimo na ushirika
magari kutembea jumapili mwisho saa 8 mchana
Mchele, ngano, sukari na sabuni hupati hadi kibali cha RTC ama uende duka la kaya
Marufuku kumiliki TV
Marufuku kumiliki mashamba
Marufuku kumiliki nyumba yenye kuzidi thamani ya laki moja
Magazeti ya nje marufuku
Ukikutwa na Colgate ama Palmolive, basi unahujumu uchumi utaenda jela
Marufuku kuanzisha radio stations. RTD tu iwe hewani

Ujamaa ni ujinga!!
 
..mkuu kama angeamua kuwa mkweli usingethubutu kusema hicho nilicho-bold hapo juu! Badala yake ungesemwa ameshinikizwa na hoja za Vyama vya Upinzani partcularly CDM!. Kama huna kumbukumbu kiasi hicho ni miezi michache tu imepita wakati wa Uchaguzi Mkuu Octoba 2010, CCM ilikua haitaki kabisa kusikia kitu inatwa Katiba Mpya. baada ya pressure wame-give-in kitu ambacho ni kizuri...

Kwa kweli anastahili sifa. Kwanza ndiye aliyenazisha mchakato. Hata kama hakuanzisha mchakato,kama inavyodaiwa, kitendo chake cha kuridhia kimemfanya ajipambanue miongoni mwa viongozi wa kiafrika ambao michakato kama hiyo huigeuza kuwa mapambano yanayopelekea machafuko na watu kupoteza maisha, kujeruhiwa na hata kufungwa. Mfano wa Kenya hatujausahau na iliwachukua miaka 20 ya mapambano makali.
 
<SPAN style="FONT-FAMILY: century gothic"><FONT size=4><SPAN style="COLOR: #0000ff">

Ben, sina ushabiki kwa JK lakini nimejaribu tu kuonyesha jinsi Mwanakijiji alivyo na mania kwa Nyerere ambayo sasa inampa dilemma, na vile vile phobia yake kwa JK inavyomuweka mahali ambako angetamani kulaumu lakini imeshindikana. Mimi nimekuwa nikikosoa pale ninapoona JK anastahili kukosolewa, lakini siwezi kufanya kama mwenzetu ambaye tulipomlaumu Ngeleja kuhusu umeme yeye alimrukia JK akidai hata yeye alipita wizara hiyo hiyo, akimaanisha miaka 17 iliyopita na akijua kwamba baada ya JK wamepita mawaziri zaidi ya nane.
 
Shamba la kijiji-lazima ukalime n'gwe yako la sivy utaishia rumandeVyama vya kilimo na ushirikamagari kutembea jumapili mwisho saa 8 mchanaMchele, ngano, sukari na sabuni hupati hadi kibali cha RTC ama uende duka la kayaMarufuku kumiliki TVMarufuku kumiliki mashambaMarufuku kumiliki nyumba yenye kuzidi thamani ya laki mojaMagazeti ya nje marufukuUkikutwa na Colgate ama Palmolive, basi unahujumu uchumi utaenda jelaMarufuku kuanzisha radio stations. RTD tu iwe hewaniUjamaa ni ujinga!!
Hata leo hutaweza kuvipata kama miaka 2 au 3 iliyopita nchi yako ilikuwa vitani.
 
well ndiyo haya haya ya "Waziri apigwa rungu".... unaweza kabisa ukajishawishi kuwa nimewahi kusema hivyo lakini ukitafuta hutapata mahali popote. Ni sawasawa na watu ambao hudai "Nyerere aliwahi kusikika kusema" au "Inadaiwa Nyerere alisema"... ukiuwaliza lini na wapi wanaenda kutafuta nukuu za mtu ambaye naye anadai kuwa Nyerere "aliwahi kusema". Tatizo huwezi kuyapata hayo maneno yenyewe ya Nyerere.

Duh....Man you are right,ila nimecheka sasa.Buried here is the lacuna of ill-concieved political abracadabra that interred our forlon hopes in the six-foot-deep tomb of dispair, fending off the great minds and excited from the public sit-and-speak citizenry

So,case dismissed?
 
Fantastic description.
 
Back
Top Bottom