Uongozi wa mkoa wa Mwanza kufungua akaunti maalumu kwaajili ya kukusanya rambi rambi. Tujiandae kutoa kwa upendo

Utasikia zilitumika kuwasafirishia viongozi waliojitokeza uko hahaaaaa serikali ina hela in jiwe's voice ebu toeni hata kidogo basi
 
Mh izo akaunti zisije kuwa akaunti hewa tu kama mlivotufanyia kwenye lile tetemeko la ardhi lilitokea mkoani kagera.
KWAKO MWALIMU KASHASHA
 
Nasikiliza U FM hapa wanasema uongozi wa mkoa wa Mwanza utafungua akaunti maalumu kwa ajili ya kukusanya rami rambi za misiba iliyotokea kutokana na ajli ya kupinduka kwa kivuko chaMV Nyerere katika ziwa victoria. Ni jambo jema tujiandae kutoa rambi rambi zetu kupitia akaumti hiyo
Hao tena, kwenye rambi rambi ! Kwani kwenye mfuko wa maafa wameishatoa ngapi?
 
Shime tuchangie tusahau ya Bukoba maana kule kuna watu walizibomoa nyumba zao ili walipwe fidia ndio maana serikali ikaelekeza pesa kwingine
 
Nafikiri muitikio hautakuwa mzuri kwa kuangalia yaliyotokea nyuma notably Arusha na Kagera kwani serikali hii haiaminiki linapokuja swala la michango ya rambirambi.

Rais anapenda kuingilia hata mambo madogo kama kuratibu michango ya rambirambi na mwisho wa siku michango hiyo katu haiwafikii walengwa na mwisho haijulikani inakoenda...!!!

Serikali itoe mchango wake kivyake kisha iache watu watoe ya kwao kupitia kamati ya maafa ambayo yafaa iundwe na ndugu wa wafiwa.

This government is being run by people who aren't faithful enough to be trusted with handling funds meant for the bereaved.

They've indulged themselves in massive embezzlement of similar funds in the immediate past and nothing can make us trust them today. They're a bunch of swindlers.
 
Mamaee .
Hawa jamaa huwa wana tudharau sana aisee!! Yaani wanataka kuhisi kua tushasahau ya tetemeko la Kagera? Na ile ajali ya wale watoto wa Arusha!?
Btw wajinga bado wapo na wajinga ndio waliwao.
 
Tukichanga hizi ndiyo wahanga watapewa za kusaidia msiba au zitapelekwa tena kwenye ‘miundo mbinu’ikiwemo kununua kivuko kipya?
 
Tukishachanga watuambie yale maneno ya kejeli hapana bado nakumbuka tetemeko wahanga hata mia hawakuiona
 
Back
Top Bottom