Uongozi wa mkoa wa Mwanza kufungua akaunti maalumu kwaajili ya kukusanya rambi rambi. Tujiandae kutoa kwa upendo

Kwa mwenendo wa serikali hii hapana. Labda zifunguliwe a/c kwa majina ya makanisa kama vile RC, KKKT na Anglican hapo tutatoa kwani tunaamini; moja, zitafika kwa walengwa na pili tutapata thawabu kwa Mola ila sio serikali.
 
Nashauri Mbunge wa eneo hilo afungue A/C bank aitangaze ili tum-support kwani yeye ndie mwenye wananchi. Serikali ina fedha nyingi sana ktk kile kitengo cha maafa. vilevile ni muafaka kusimamisha ile 'biashara haramu' ili hizo fedha ziende kwa wafiwa.
 
Kumbe ndo maana alisema watu wakalale wataokoa kesho tena ili wafe walete kale kamchezo kao Ka tetemeko na Lucy visent ccm kuweni na utu
 
Awamu ya tano ni hatari sana, rambirambi nayo inageuzwa source ya mapato serikalini! Kwa ajili ya Ujenzi wa miundo mbinu ya serikali! Hii ni laana
 
Jiwe hachelewi kusema..."Mliponichagua nilisema kivuko kitazama???" Wajibebee tuu matapeli wakubwaaa over...
 
kumpenda mwanaccm ni kosa la jinai kwasasa
Tunaangalia na wakati gani tunahitaji kupendana. Tuwe na Umoja kama Taifa Huru. Sisi Watanzania wote ni Ndugu. Ndio maana ukipata Ajali popote Katika nchi hii unasaidiwa na watu ambao hata hawajui na wengine pia wanashiriki Maziko yako bila Shida yoyote.
Tuombeane uzima siasa tuweke kule pembeni.
 
Jiwe hachelewi kusema..."Mliponichagua nilisema kivuko kitazama???" Wajibebee tuu matapeli wakubwaaa over...
Hawez sema hivo, wale wakukaya, ingekuwa mbeya huko ungesikia haipo kwenye ilan ya ccm!!!!!

Hela yangu mm serikali ikajenge mnara!!!! hapana!!!!! Nitanunua soda nimpelekee Sufi pale sentro
 
Back
Top Bottom