Uongozi wa Lipuli FC unakuja kwako mwanachama, mpenzi na shabiki popote ulipo kuomba mchango wako

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,411
Mchango wa msiba

Kufuatia taarifa ya ghafla ya msiba wa baba mzazi wa mchezaji wetu ndugu yetu asante kwassi uliotokea kwao nchini ghana, uongozi wa lipuli fc unakuja kwako mwanachama, mpenzi na shabiki popote ulipo kuomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha safari ya mchezaji wetu (mfiwa) kwenda kwenye msiba nchini ghana mapema iwezekanavyo.

Asante kwassi anatarajiwa kuindoka kwenda ghana siku ya jumanne tarehe 7/11/2017.

Gharama za safari yake ya kwenda na kurudi ni shilingi laki nane (800,000).

1. Ramadhani Mahano...50,000/=

2. Clement Sanga...5000/=

3. Frans Godwin...20,000/=

4.

5.

6.

7.


Namba za kutuma mchango ni...
0752335522 au 0718335522.

Jina litaonesha clement sanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom