Elections 2010 Uongozi wa juu wa Chadema usibadilike

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,602
6,809
Nafikiri ni vema kwa Chadema kuendelea na uongozi wake wa juu kama ulivyokuwa kabla ya Uchaguzi; kitendo cha kujaribu kubadilisha NEC kwa sasa na kuingiza wageni ni hatari ila kama taratibu zinaruhusu sawa, mfano Mbunge kuwa mjumbe wa NEC otherwise hapana! Hapana! mpaka muda wake ufike na mchakato wa kikatiba ufuatwe. Rai yangu ni kwa sababu sina imani sana na akina Mabele!

Ili umbomowe adui yako lazima umfahamu vizuri, na jinsi Marando alivyokuwa mstari wa mbele yawezekana ni kuwahadaa Chadema ili waone ni mpiganaji wa kweli na mwisho kuwageuka na kuwamaliza. Usalama wa taifa uacha kazi hiyo anapokufa tu.
 
Back
Top Bottom