Uongozi wa jiji la Dar wanawezaje kutekeleza mradi wa 50bil pasipo kuwalipa fidia wananchi?

Gwesefe

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
680
377
Ni jambo la kustaajabisha kwa jiji kama la Dar es salaam kuanza kutekeleza mradi mkubwa kabisa wa zaidi ya 50bil na kushindwa kuwalipa fidia wakazi waliopisha maeneo hayo.

Kama wananchi wamekaa miaka mitatu toka wafanyiwe tathimini na hawajalipwa hata mia huku mradi ukiendelea kujengwa. hivi viongozi wa jiji wanautendea haki kweli mradi mkubwa kama huu au kila jambo mpaka Rais aingilie kati.

Waziri Jafo angalia mradi huu vizuri wananchi wanahamu na stand mpya, uongozi wa jiji wanakuangusha.

Screenshot_2019-12-07-00-40-06.jpg
 
Kuna Mengine yanakera sana Ila yote ni kukosekana kwa elimu ya uraia kwa wananchi wetu. Wanasheria wetu nao wamekaa kama watu ambao hajasomea sheria.
Kweli kwa matukio yanayofanywa na serikali dhidi ya rais wake bado Wanasheria hawaoni kama fursa ili waingie na ubia na wananchi wakafungue kesi mahakami au wanasubiri na Wao wapewe ajira kama wapiga Zege kwenye huo ujenzi.

Maajabu Haya nayaona Tanzania tu.
 
The story is half cooked. Sasa unawezaje kujadili majungu na kuhitimisha, ndio ukasuku wenyewe.
 
Kuna Mengine yanakera sana Ila yote ni kukosekana kwa elimu ya uraia kwa wananchi wetu. Wanasheria wetu nao wamekaa kama watu ambao hajasomea sheria.
Kweli kwa matukio yanayofanywa na serikali dhidi ya rais wake bado Wanasheria hawaoni kama fursa ili waingie na ubia na wananchi wakafungue kesi mahakami au wanasubiri na Wao wapewe ajira kama wapiga Zege kwenye huo ujenzi.

Maajabu Haya nayaona Tanzania tu.
Pengine wanaogopa kuwa LISSU-LIZED,unadhani mvua ya risasi ni mchezo mchezo...
 
Kuna Mengine yanakera sana Ila yote ni kukosekana kwa elimu ya uraia kwa wananchi wetu. Wanasheria wetu nao wamekaa kama watu ambao hajasomea sheria.
Kweli kwa matukio yanayofanywa na serikali dhidi ya rais wake bado Wanasheria hawaoni kama fursa ili waingie na ubia na wananchi wakafungue kesi mahakami au wanasubiri na Wao wapewe ajira kama wapiga Zege kwenye huo ujenzi.

Maajabu Haya nayaona Tanzania tu.
Mkuu hizo Mahakama gani unazozi reffer
Hizi Mahakama za Jiwe ???
 
Back
Top Bottom