Uongozi wa hii Shule ya Musoma Utalii utuombe radhi upesi / haraka wana Mara ( Musoma )

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,862
Katika Historia ya nchii tokea izaliwe Mkoa wa Mara ( Musoma ) haujawahi kuwa wa mwisho katika matokeo yoyote yale ya Elimu kwa nchi hii ya Tanzania hasa ikiaminika na kujulikana kwamba kama kuna Watu ambao ni ' gifted ' na ' intelligent ' Kiasili ni wa kutoka Mkoani Mara.

Jana tumepokea kwa masikitiko makubwa sana kusikia kwamba Shule ya Musoma Utalii imekuwa miongoni mwa Shule zilizofanya vibaya kabisa katika matokeo ya Kidato cha Sita nchini. Tunahitaji majibu ya Kina kabisa kwanini imekuwa hivi na mtuombe radhi upesi Sisi wana Mara kwani mmetutia mno aibu.

Na najua waliotusababishia yote haya ni Wanafunzi kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Singida na Dodoma ambao wao wanajulikana kabisa kuwa Kiasili siyo Wasomi wazuri na wamejazana mno katika hiyo Shule na ndiyo waliotutia hii aibu.

Nitoe RAI kwa Uongozi wa Shule ya Musoma Utalii kwamba kuanzia sasa ni mwiko na acheni kabisa kuchukua Wanafunzi kutoka katika Makabila ya Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu na Warangi kwani ndiyo wamewaponzeni hadi ' Kuifelisha ' vibaya hiyo Shule yenu.

Leo hii Mimi ' Mzanaki ' GENTAMYCINE wa kutokea Mkoani Mara ( Musoma )nitaficha wapi Uso wangu / Sura yangu hii kama Shule ya Musoma Utalii ni miongoni mwa Shule 10 bora kwa Kufeli Kidato cha Sita kwa matokeo ya jana?

Halafu niwaombeni sana na nyie Wenyeji wa hii Mikoa ya Kagera, Kigoma, Singida na Dodoma hivi kwani huko Mikoani Kwenu hamna Shule hadi mkimbilie Kwetu Mara ( Musoma ) na matokeo yake mnafeli na kutuchafulia Shule yetu?

Tafadhali Uongozi wa Shule ya Musoma Utalii hili jambo lisijirudie tena na endeleeni kuwadhihirishia Watanzania kwamba ukiwatafuta ' Majiniasi / Vipanga ' nchi hii nenda upesi Mkoani Mara ( Musoma ) utawapata.

Nawasilisha.
 
Yego GENTAMYCINE anye wanjomesha anuira go:-

Halafu niwaombeni sana na nyie Wenyeji wa hii Mikoa ya Kagera, Kigoma, Singida na Dodoma hivi kwani huko Mikoani Kwenu hamna Shule hadi mkimbilie Kwetu Mara ( Musoma ) na matokeo yake mnafeli na kutuchafulia Shule yetu?
 
Genta vipi tena, wewe si upi huko Gisenyi? Tanzania imekataa Dual citizenship bro?
 
Miyaga ngwasu rata
 
Back
Top Bottom