Uongozi wa Chuo cha Machame COTC, mmulikeni mwalimu huyu Dr.Saitore ananyanyasa wanafunzi.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,376
24,928
Hili ni bandiko kutoka kwa wanafunzi hao baada ya kulibandika katika ubao mkuu wa Matangazo chuoni hapo.

uploadfromtaptalk1463727674562.jpg
 
Sasa kama limeisha bandikwa kwenye ubao mkuu wa matangazo na tayari mhusika amelisoma sisi wengine linatuhusu nini?
 
Sasa kama limeisha bandikwa kwenye ubao mkuu wa matangazo na tayari mhusika amelisoma sisi wengine linatuhusu nini?
Mbona unakuwa na jazba mkuu, au wewe ndiyo mlengwa? acha kuwanyanyasa wale wanafunzi
 
Mbona unakuwa na jazba mkuu, au wewe ndiyo mlengwa? acha kuwanyanyasa wale wanafunzi
Kuna uzi fulani ulikuwa una sapoti wanafunzi kufukuzwa bila kujua chanzo huenda ni manyanyaso ya muda mrefu kama haya lakini hapa unawatetea hawa.
Unafiki.
 
Back
Top Bottom