Uongozi wa CHADEMA UMEOZA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa CHADEMA UMEOZA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Dec 12, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  watu mtaani wanashaangaa uamuzi wa chadema kumtimua zitto u naibu bungeni, wananchi walio wengi wanajua zitto kavuliwa uongozi wote mpaka u naibu katibu wa chama

  wananchi wameanza kukosa imani na uongoza wa chadema kwa kuvuruga chama
  wanasema chama kinakalibia kufa kifo kibaya:target:
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,200
  Trophy Points: 280
  Watu wa mitaa ipi hiyo..............dua la kuku hilo........mtasubiri milele mkono udondoke.
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio mitaa ni nchi nzima watu wameanza kujua ukweli kuwa chadema kwafukuta kwa ubaguzi
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 12,200
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe ndio JEYKEYWAUKWELI au umesahau kuwa thread hii ulitumia ile username nyingine.
   
 5. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  We! Jeykeyukweli wewe ndio umeoza sana na huna hoja ukalale utuache wenye nchi tujadiliane.
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  unategemea mitaa ya ccm iongee nini?
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  jamani huyu jeykey ni mzima kweli?unajua ana bore sana kila nikimsoma, amekua anaandika kama mashairi ya taarabu na ushakunaku,watu kama hao wanatuharibia siku zetu kwa upumbavu wao,mi napendekeza ifikie hatua kabla ya kupewa umemba hapa jf.watu wawe wanapewa online intavyuu.na hiyo itamsaidia mod kuwachuja hawa small minded people kama jeykey na kundi lake. Carramba!
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  sasa wew umeandika nini jakaya ndo anazidi kumiminiwa degree za heshima
   
 9. m

  mams JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ya ngoswe mwachie ngoswe! Ukistaajabu ya CDM utayaona ya CUF na utazimia ukiyaona ya CCM
   
 10. Bams

  Bams JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 3,617
  Likes Received: 2,998
  Trophy Points: 280
  Hizo porojo. Hatutaki kwenye JF watu wanaosema, 'watu huko mitaani, kuna maneno yameenea, n.k.', kama kweli unayoyasema ni kweli leta hapa quantifiable information siyo umbea. Kumbuka maneno ya Kelvin, 'If you can measuare what you say and present in numbers then you know something about it if not you know nothing'. Ni wananchi wa wapi, watu wa namna gani, na wapo wangapi waliokosa imani na uongozi wa CHADEMA?
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwenye chama chako mangapi kama haya yanatokea mbona hutuambi wananchi wamekosa imani chama chako mpaka wengine mna wauwa...
   
 12. n

  nndondo JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Jamani lazima tukubali kwamba CHADEMA as an instituttion lazima iongozwe na misingi ya kufanyakazi badala ya ukihiyo wa kusema nani kasema nani kasema. Ndio inawezekana kabisa Zitto anamchango mzuri na uwezo, lakini ukweii unabaki kuwa hana adabu na ni diffiicult to work with. Je ni nani kati yenu angeweza kukaa na Zitto ama mtu kama zitto katika kufanya kitu chochote iwe ni kama surbordinate wa hata kikundi cha kupiga debe pale mjini? Lazima mjue CHADEMA haiwezi kuongozwa na ushabiki wetu hasa kwa sasa uchaguzi umepita lazima wafanye kazi. Hivi huyu zitto anatofauti gani na tabia ya mafisadi ndani ya CCM ambao mnashangaa kila siku kwa nini hawafukuzwi lakini huyu akivuliwa madaraka tu mnapiga kelele? mimi nadhani mkumbuke kabisa kwamba sisi wote tuko nje, tuuachie uongozi wa CHADEMA ufanye kazi. Je ni mara ngapi umekuta hata kwenye kazi mtu ana qualification kubwa tu labda hata Phd, na experience na contacts lakini anakosa kazi kwa someone very junior, simply because the attitude is not right. Zitto hana right attitude wote sisi tuliopata bahati ya kupata uongozi katika sehemu za kazi tumeshafanya maamuzi kama hayo na tumeshangaa hata hivyo CHADEMA kuwa na uvumilivu wa kiasi hicho. Msaidieni Zitto mliokaribu nae atumie muda huu ajifunze how to behave professinally popote pale atakapokua, bado ni mdogo ananafasi ya kujifunza. Ajifunze, Ajifunze ajifunze, sikubalina na wale wanaomshabikia kuhama chama itakula kwale, CCM na wengine wamekua wakim mkubatia kwa kuwa alikua ana address, maisha ni kutumiana na hawa wamemtumia sasa njia pekee ni yeye kukubali kujifunza kutokana na makosa.
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CCM ndiyo imeoza vibaya na inanuka kweli kweli katika kila fani -- rushwa, uongozi mbaya, kusema uongo, ubabaishaji etc etc. Uthibitisho ni kuporomoka kwake katika uchaguzi kutoka asilimia 81 hadi 61 na hiyo imekuja pamoja na kampeni ya kitajiri na uchakachauji wa kura. CCM IS REALLY SMELLING!!!! AGHHHHH!!!!!!!
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tujadili CCM imewaua viongozi wao wangapi hadi sasa:


  1, Edward Sokoine
  2. Horace Kolimba
  3. Salome Mbatia
  4. Amina Chifupa...?\
  5.......
  6......

  Ongezeeni orodha hiyo tafadhali
   
 15. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  It seems unamatatizo kidogo ya diagnostic ability.Kwasababu ni wazi kwamba Zitto ni double dealer,yuko tayari kwenye payroll ya mafisadi,ambao to me ni synonimous na CCM.Sasa mtu kama huyo atakuwaje mmoja wenu?Obviously haiwezekani kwa kipimo chochote.No,leo mmezungumza jambo kesho liko the other side.Ni bora aondoke.
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  :llama:
   
 17. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hAPA SASA NDO UTAPIMA CHADEMA INANYOKUFA

  plain A
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Tujadili CHADEMA imewaua viongozi wao wangapi hadi sasa

  1. CHACHA WANGWE
  2.NEXT ..........z
   
 19. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #19
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wewe ndo bure kabisa!!!! Degree za heshima zanatusaidia nini sisi watanzania wa kawaida???? Sisi tunahitaji maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla na si maendeleo feki ya mtu mmoja tena anechangia kuangamiza taifa!!! Wake up for a minute!!!!! Dimwitt!!
   
 20. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  maendeleo gani wewe unataka
  CCM imekusadia ukue kwa amani mpaka sasa umepata maendeleo
   
Loading...