Kwa wanachedema,
Umakini zaidi unahitajika kuongoza chama wakati huu mgumu na tete. Mgongano wa mawazo kati ya Zitto, Mbowe na hata kundi la wanachama wapya waliojiunga chama hivi karibuni ni lazima litazamwe kwa makini. Ni demokrasia kugonganisha mawazo lakini ni vizuri tukatumia vizuri kuepusha mianya ya sumu kupenyezwa. Chadema ni tumaini la wengi na Survival yake inategemea jinsi itakavyoweza kupambana na kumeneji tofauti kati ya makundi na chaguzi za ndani. Ikipita kwenye changuzi za ndani salama na kuwa na safu safi kama mwaka huu mipango ya wapinzani wenu itakuwa mashakani.
Mungu aiepushe na migawanjiko inayoweza kuwagonganisha. Chaguzi za ndani ya chadema ni sehemu muhimu kwa watu wenye nia mbaya kuwasambaratisha.
Mungu ibariki Tanzania!