Uongozi wa CCM ya Leo ni Sawa na Vyura wa Masika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa CCM ya Leo ni Sawa na Vyura wa Masika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Prophet, May 16, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukisikiza sauti za vyura wa masika hautaelewa wanachoimba. Hakuna mpangilio wa sauti, aanze nani afuate nani, ni ngumu ku-define. Ndiyo CCM yetu ya leo. Baada ya kuwadumbukiza WaTZ katika lindi la umasikini, huku viongozi wa chama hiki wakigeuka walafi na wafujaji wa mali za taifa hili, sasa wameshikwa pabaya. Chadema kinawanyeshea mvua za masika, na sasa utasikia masauti ya ajabu ajabu yasiyoeleweka yakitoka kwa kila mtu anayejiita kiongozi wa chama. Ndani ya miezi 7 ya awali ya awamu ya pili ya urais wa kikwete, viongozi wa chama hiki wamekuwa wakitoa matamshi yanayokanganya na kukinzana kwa kiasi kikubwa. Na watanzania tunabaki kushuhudia anguko hili kuu la chama cha magamba.
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Raisi akiri rushwa imekomaa kwenye wizara zake
  Raisi akiri mawaziri wanaugomvi na makatibu wakuu
  Raisi akili CCM ni chama cha mafisadi
  Raisi akiri kuna matumizi mabaya ya fedha za maendeleo
  Raisi akiriTRA haikusanyi kodi za kutosha
  Raisi akiri kuna mikataba ya madini na Mitambo ya umeme mibovu
  Raisi akiri gharama za maisha kwa watanzania ziko juu
  Raisi akili kuna matatizo ya wanafunzi vyuo vikuu,elimu ya msingi na sekondari imeshuka
  nakadharika nakadharika nakadharika
  NIAMBIE TUNA RAISI HAPO AU BOYA TU
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Naipend hii!!!!!!!!!!
   
Loading...