lindunduru
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 392
- 551
- Thread starter
- #21
Ok, wazo jipya hilo, nitatumia watu wangu kufanya uchunguziIla huwa kuna tetesi mkuu, kuwa hali ikiwa ngumu watot wa mzumbe na saut hujumuika pale carnival japo mm mpk naondoka mbeya hakuna ushahid uliowah kupatikana. Siyo mzumbe wala saut c unajua hiv vyuo vipo karibu na carnival, so watu wanaweza kutunga pia ikaonekana kweli