Tunakoenda nikubaya mno ,Mungu tusaidie
Hilo dude linajifanya kuwa nilipole sana sasa hivi ila muda siyo mrefu litaanza kutafuna watu including jiwe mwenyewe!!
Hatari sana brother Mshana Jr ifike mahala uongozi uwe wa kutumia zaidi hekima ,busara na utu ndani yake kwa kila jamboKukichwa kutambazuka lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro
Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.Umenifirisha... 'Ngeu' ni alama pia... Kovu ni alama pia
Kwenye mapenzi mtu anaweza kuwa na alama mbili kama sio love bite basi ni kidonda cha meno... Zote ni alama moja nzuri moja mbaya.....Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.
Aisee😂😂😂hapo kwenye Kununua morali badala ambulance pamenikuna.Unapoharibu ili utengeneze sio jambo baya... Ni jambo zuri pia la la kheri... Lakini unaharibu nini ili utengeneze nini.... Walevi ni watu wema sana.... Hawanyimani, hawapunjani... Lakini anapotokea cha POMBE mmoja akasema huyu mupe, yure muruke... Tambua huyu si mmoja kati ya wale wema ni mbaguzi asiyefaa... Ana hulka za kutenganisha badala ya kuunganisha, kubomoa badala ya kujenga.. Huyu ni kenge kwenye msafara wa mamba... Mlevi wa kilevi cha madaraka ya kulevya... Pombe yenye kirevi cha arikohori nyingi sana
Hatununui ambulance badala yake tunanunua maroli ya kubebea maiti zilizokufa.... Ukisikia uchuro ndio huu... Uongozi unaoacha alama
Pengine nguvu za giza pia tusizisahau.Kuna baadhi ya mambo matokeo yake asili yake ni kiroho