Uongozi unaoacha alama.

.
tapatalk_1544903719371.jpeg
 
Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.
Kwenye mapenzi mtu anaweza kuwa na alama mbili kama sio love bite basi ni kidonda cha meno... Zote ni alama moja nzuri moja mbaya.....
 
Unapoharibu ili utengeneze sio jambo baya... Ni jambo zuri pia la la kheri... Lakini unaharibu nini ili utengeneze nini.... Walevi ni watu wema sana.... Hawanyimani, hawapunjani... Lakini anapotokea cha POMBE mmoja akasema huyu mupe, yure muruke... Tambua huyu si mmoja kati ya wale wema ni mbaguzi asiyefaa... Ana hulka za kutenganisha badala ya kuunganisha, kubomoa badala ya kujenga.. Huyu ni kenge kwenye msafara wa mamba... Mlevi wa kilevi cha madaraka ya kulevya... Pombe yenye kirevi cha arikohori nyingi sana
Hatununui ambulance badala yake tunanunua maroli ya kubebea maiti zilizokufa.... Ukisikia uchuro ndio huu... Uongozi unaoacha alama
Aisee😂😂😂hapo kwenye Kununua morali badala ambulance pamenikuna.
 
Back
Top Bottom