Uongozi unaoacha alama; Rais Magufuli alipa malimbikizo ya mishahara tangu 2010

Warue

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
424
810
Salaam wanaJF.

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimeshuhudia furaha na vifijo kutoka kwa wanataaluma wa vyuo mbali mbali wa hapa nchini wakishangalia kupokea malimbikizo ya mishaara yao ya mda mrefu kutoka enzi za mpendwa wetu rais mtaafu.

Kama tunavyofahamu jana watumishi wote wa umma wamepokea mishahara yao ya mwisho wa mwezi January kama ilivyo ada ya serikali ya awamu tano kulipa mishahara kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi

Cha kufurahisha ni kwamba, watumishi hao waliokuwa wanadai malimbikizo mbalimbali ikiwa ni za kupande madaraja, ajira mpya nk.
Malimbikizo hayo yalikuwa ni mda mrefu kuanzia mwaka 2010.

Kwa mfano, alisikika mtumishi mmoja akisema, alipanda daraja mwaka 2011 baada ya kumaliza masomo yake ya masters lakini hakuwahi kupokea mshahara wa nafasi yake mpya mpaka ilipofika mwaka 2016. Hata hivyo katika kipindi hiko, alijazishwa form za arrears mara kwa bila kupata malipo.

Kwa hakika, magroup mengi ya WhatsApp ya watumishi yalijawa na furaha wakiisifu serikali ya awamu ya 5 ya Mh. John Pombe Magufuli. Mfano wa ujumbe mfupi uliotumwa kwenye group moja la wanataaluma ilisomeka hivi:

*TAARIFA YA KUPATA ARREARS*

Mimi *Sheembi*, leo tarehe 24/04/2020 nimepata arrears.

Naomba nianze kwa kujishukuru mimi kwa uzalendo na uvumilivu wa kulitumikia taifa la Tanzania kwa miezi kadhaa pasipo kulipwa mshahara.

Naishukuru kwa sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa wanyonge.

Niishukuru serikali ya UDOMASA inayoongozwa na Mwenyekiti Comred Dr. Nywenya.

Niishukuru THTU taifa chini ya Dr. Paul @⁨oloisulie⁩ pasipo kuisahau THTU UDOM chini ya Nashon.

Ushuhuda huu uwe chachu ya kuendelea kuwa positive kwa ambao hawajapa.

Serikali ya CCM chini ya Dr John Pombe Magufuli ni serikali ya wanyonge na sikivu hivyo italipa madeni ya arrears zote kadri ya uwezo wake.

*SerikaliYaCCMIlituahidiArrearsNaImetekeleza*

*KidumuChamaChaMapinduzi*

*Solidarity*

Mwisho wa ujumbe.

Kwa hakika Mh. Rais John Pombe Magufuli amebeba misalaba mizito ya taifa hili, amekuwa mkweli kwa kila kitu anachotaka kukifanya na anafanya bila kupepesa macho. Hajawahi kudanganya.

Madai haya yalishashindikana na wengi walishayasahau siku nyingi.

JPM ni kiongozi aneacha alama ya kudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hizo mbinu za karne iliyopita za kulipa baadhi ya watu kabla ya uchaguzi na kisha kufanya propaganda kuwa mnawajali wananchi zinatumika? Amkeni hii ni karne ya sayansi na teknolojia acheni kutumia mbinu za kizee maana watu wameshaamka.
Hao hao watumishi utadhani hawana akili hapo tayari washasahau machungu ya miaka yoote wapo tayari kuburuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#TUNATEKELEZA,
NA HUYO NDIYO JPM
🤣🤣🤣🤣🤣:)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
 
Mnatujengea taifa la waoga waoga,kumshukuru shukuru Rais kwa vitu ambavyo ni haki ya wafanyakazi.

Acheni hizo mambo za kidwanzi.

dodge
 
Watumishi wa umma ni mabwege sana, unalipwa malimbikizo leo halafu kesho mkate unanunua kwa 1,500/= badala ya 1,000/=, so ile nyongeza haina impact, na bado mtu anashangilia
 
Ila ukweli usemwe,, hakuna watu wajinga wajinga kama hawa watu...mishe wa uma! Yaani haki yako unaiona kama fadhila!
 
Woga tu wa uchaguzi mkuu. Kama kweli Rais anawathamini raia wake kwa nini hakuwalipa watumishi hao malimbizo yao mapema kabisa mwa uongozi wake?
Woga wa uchaguzi unatoka wapi wakati wapinzani wanatuambia kuwa Rais Magufuli anategemea polisi na Tume ya Uchaguzi katika kupata ushindi!
 
Salaam wanaJF.

Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimeshuhudia furaha na vifijo kutoka kwa wanataaluma wa vyuo mbali mbali wa hapa nchini wakishangalia kupokea malimbikizo ya mishaara yao ya mda mrefu kutoka enzi za mpendwa wetu rais mtaafu.

Kama tunavyofahamu jana watumishi wote wa umma wamepokea mishahara yao ya mwisho wa mwezi January kama ilivyo ada ya serikali ya awamu tano kulipa mishahara kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi

Cha kufurahisha ni kwamba, watumishi hao waliokuwa wanadai malimbikizo mbalimbali ikiwa ni za kupande madaraja, ajira mpya nk.
Malimbikizo hayo yalikuwa ni mda mrefu kuanzia mwaka 2010.

Kwa mfano, alisikika mtumishi mmoja akisema, alipanda daraja mwaka 2011 baada ya kumaliza masomo yake ya masters lakini hakuwahi kupokea mshahara wa nafasi yake mpya mpaka ilipofika mwaka 2016. Hata hivyo katika kipindi hiko, alijazishwa form za arrears mara kwa bila kupata malipo.

Kwa hakika, magroup mengi ya WhatsApp ya watumishi yalijawa na furaha wakiisifu serikali ya awamu ya 5 ya Mh. John Pombe Magufuli. Mfano wa ujumbe mfupi uliotumwa kwenye group moja la wanataaluma ilisomeka hivi:

*TAARIFA YA KUPATA ARREARS*

Mimi *Sheembi*, leo tarehe 24/04/2020 nimepata arrears.

Naomba nianze kwa kujishukuru mimi kwa uzalendo na uvumilivu wa kulitumikia taifa la Tanzania kwa miezi kadhaa pasipo kulipwa mshahara.

Naishukuru kwa sana serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa wanyonge.

Niishukuru serikali ya UDOMASA inayoongozwa na Mwenyekiti Comred Dr. Nywenya.

Niishukuru THTU taifa chini ya Dr. Paul @⁨oloisulie⁩ pasipo kuisahau THTU UDOM chini ya Nashon.

Ushuhuda huu uwe chachu ya kuendelea kuwa positive kwa ambao hawajapa.

Serikali ya CCM chini ya Dr John Pombe Magufuli ni serikali ya wanyonge na sikivu hivyo italipa madeni ya arrears zote kadri ya uwezo wake.

*SerikaliYaCCMIlituahidiArrearsNaImetekeleza*

*KidumuChamaChaMapinduzi*

*Solidarity*

Mwisho wa ujumbe.

Kwa hakika Mh. Rais John Pombe Magufuli amebeba misalaba mizito ya taifa hili, amekuwa mkweli kwa kila kitu anachotaka kukifanya na anafanya bila kupepesa macho. Hajawahi kudanganya.

Madai haya yalishashindikana na wengi walishayasahau siku nyingi.

JPM ni kiongozi aneacha alama ya kudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nanukuu....
*TAARIFA YA KUPATA ARREARS*

Mimi *Sheembi*, leo tarehe 24/04/2020 nimepata arrears.
emoji41.png
..... mwisho wa kunukuu

SWALI

HIYO TAREHE YA HAYO MALIPO YA AREAS TUMEIFIKIA..??
 
Back
Top Bottom