UONGOZI UDSM, RAIS DARUSO Wanataka kuleta Mgomo.

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Rais wa serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndugu Mathias Simon Kipara anataka kuleta Mgomo.
Kipara kama rais wa DARUSO ameshindwa kufuata maazimio ya bunge la Daruso na kwa tamaa zake binafsi ameamua kuirudisha UDSM kwenye TAHLISO wakati UDSM kama Chuo cha UMMA kilishaaamua kujito kutoka TAHLISO, wakati wa maazimio ya kujitoa TAHLISO vyuo vya Umma vilidai kwamba TAHLISO imetekwa na mafisadi hivyo kutowatetea wanyonge pamoja na watoto wa wakulima wakati wakudai masuala ya MSingi kwa mustabali wa maendeleo ya TAIFA.
KIPARA amekwenda mbali zaidi na kuchukua PESA toka DARUSO bila ya kukubaliwa naBUNGE kwenda kulipia ADA ya TAHLISO.
KPARA amekuwa mtu mwenye kiburi na jeuri kubwa ameunda kamati yake ambayo kazi yake ni kufanya mawazo ya wasomi wa UDSM yasisikike kwa kubandua matangazo makala nakila kitu ambacho watu husema kuhusu yeye.
Sasa wanafunzi wanamtaka ajiuzulu, lakini yeye anaina madalaka ni kama pepo na hataki kukubaliana na hilo.
Katika hatua ya kushangaza Bunge la Daruso ilikuwa likae leo kupiga kura ya kumng'oa Uongozi wa Chuo umezuia mikutano yeyote ya Bunge.Huu ni mzaha..watu hawa hawakitakii mema chuo hiki.,Wanapenda kuona migomo ikitokea mara kwa mara na wakiendelea hivi Mgomo UDSM unanuakia soon..Tusubiri tuone jumatatu..!
 
Vipi boom limeisha mara hii? mnamkumbuka Six? alikua kiongozi wa migomo UDSM
 
Mkiungana kwa pamoja na kudai haki zenu mtafanikiwa. Mkitofautiana na mkaendekeza kuwakumbatia ma traitor mmekwisha!
 
DARUSO ya sasa siyo ile ya fikra chechemizi.
Hawana la msingi wala la kusimamia zaidi ya mikopo....

Nitawaunga mkono endapo watasimama kupigania haki za watanzania wengi na kuleta fikra za kisomi kwenye mdahalo wa kitaifa na siyo kutafuta umaarufu kupitia migomo.

Am sorry kwamba kwa sasa hawa wenzetu ni busati yaani kapeti la wanafiki
 
Unaweza kuandika bila kuhusisha bad words; watch your steps.
 
umeandika kwa speed sana. hebu andika taratibu nikuelewe hapo unamaanisha nini???

Namaanisha unaweza, na unajua kuwa unaweza, na pia inakubidi uandike kwa kutumia maneno mazuri, yanayokubalika; sio matusi na maneno yasiyokubalika katika jamii.

Imekuwa desturi kwako kutumia maneno yasiyokubalika, yasiyopendeza kwa jamii pasina kuwa na sababu ya msingi. Chunga mwenendo wako.
 
tatizo kuna mamluki wa CHICHIEM ndani yake sidhani kama watakubaliana na mgomo huo lazima kutakuwa na kugawanyika hapo cha muhimu kwanza uongozi ili kuepuka balaa unganisheni kwanza wanachuo wote wawe kitu kimoja hapo ndipo skills ya uongozi inapohitajika kwani kuna watu wametoka kwenye familia za kifisadi so kwao shida hawazijui kabisa!
 
Rais wa serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndugu Mathias Simon Kipara anataka kuleta Mgomo.
Kipara kama rais wa DARUSO ameshindwa kufuata maazimio ya bunge la Daruso na kwa tamaa zake binafsi ameamua kuirudisha UDSM kwenye TAHLISO wakati UDSM kama Chuo cha UMMA kilishaaamua kujito kutoka TAHLISO, wakati wa maazimio ya kujitoa TAHLISO vyuo vya Umma vilidai kwamba TAHLISO imetekwa na mafisadi hivyo kutowatetea wanyonge pamoja na watoto wa wakulima wakati wakudai masuala ya MSingi kwa mustabali wa maendeleo ya TAIFA.
KIPARA amekwenda mbali zaidi na kuchukua PESA toka DARUSO bila ya kukubaliwa naBUNGE kwenda kulipia ADA ya TAHLISO.
KPARA amekuwa mtu mwenye kiburi na jeuri kubwa ameunda kamati yake ambayo kazi yake ni kufanya mawazo ya wasomi wa UDSM yasisikike kwa kubandua matangazo makala nakila kitu ambacho watu husema kuhusu yeye.
Sasa wanafunzi wanamtaka ajiuzulu, lakini yeye anaina madalaka ni kama pepo na hataki kukubaliana na hilo.
Katika hatua ya kushangaza Bunge la Daruso ilikuwa likae leo kupiga kura ya kumng'oa Uongozi wa Chuo umezuia mikutano yeyote ya Bunge.Huu ni mzaha..watu hawa hawakitakii mema chuo hiki.,Wanapenda kuona migomo ikitokea mara kwa mara na wakiendelea hivi Mgomo UDSM unanuakia soon..Tusubiri tuone jumatatu..!
Piganieni katiba mpya ya DARUSO ili kumpunguzia madaraka Rais wenu na kuwapa walio wengi nguvu ya kuamua juu ya maslahi yao.
 
Ah kuna mambo mengine ni madogo saana na wameyakuza. Hivi mkiwa TAHLISO hamuwezi kudai haki zenu? Katiba inasema nini juu ya mamlaka ya Rais? Kubandika maandishi ya kumchafua inasaidia?
 
Waliozuia mikutano ya bunge hawaitakii UDSM amani!!!

We all have ability, The difference is how we use it!!!!!!!!:hungry:
 
Ah kuna mambo mengine ni madogo saana na wameyakuza. Hivi mkiwa TAHLISO hamuwezi kudai haki zenu? Katiba inasema nini juu ya mamlaka ya Rais? Kubandika maandishi ya kumchafua inasaidia?

sijakuelewa unaunga mkono ujinga eeh!!!!
 
Back
Top Bottom