Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
ndugu zangu wana JF,
Habari,
Ninamshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa wakati mzuri aliotupatia tena kushirikishana mawazo tofauti ilikutupatia ushiriki na uhai katika kuukabili mustakabali wa taifa letu hili tukufu pamoja na watu wake.
Ndugu zangu, Leo nikohapa kuyaleta mawazo yangu hasa juu ya dhana nzima ya UONGOZI nikiweka msingi juu ya presentation aliyo ifanya Mh. Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chama cha Democrasia na Maendeleo Taifa wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru 9/12/2013 land mark hotel.
Ndugu zangu Mh. Mbowe alieleza kwakirefu sana juu ya historia yake ndani ya chama na mchango wake mkubwa katika nafasi mbali mbali na hatimaye kama mwenyekiti wa kwanza wa Bavicha na mwenyekiti wa chadema taifa baadae.
Mh. Mbowe alieleza pia mchango wake mkubwa sana katika kutafuta viongozi wengine wakuisogeza CHADEMA karibu zaid na hatima yake iliyokusudiwa wakati wa kuundwa kwake.
Mheshimiwa alizungumza juu ya mchango wake wa kiushawishi na kimkakati uliyo fanikisha chadema kupata viongozi Makini wengi wakiwemo the likes of Mh. Lisu, Mh. Lema, Mh. Mdee, Mh. John mnyika na Mh. Zitto Zuberi Kabwe among others.
ndugu zangu, kazi aliyo ifanya Mh. Mbowe ni kubwa na inajidhihirisha kwa takwimu za mabadiliko makubwa in all levels kuanzia idadi ya wa wakilishi bungeni hadi idadi ya wanachama, kuanzia idadi ya mashina ya chama hadi idadi ya rasilimali za chama among many other aspects relevant.
Kwakazi hii nasema Mungu huchagua viongozi sahihi kulingana na hali ya wakati husika.
Kwakipindi hicho chote chamwanzo hadi sasa, chadema ilihitaji uongozi wa mtu makini lakini mgumu, jasiri, asiyeogopa, mkali na mwenye misimamo au kwalugha nyingine waweza kusema "mtu mbabe" ilikukisimamisha imara amidst strong opposition from the rulling CCM.
Kwakipindi hiki chote tulimuhitaji kiongozi wa mithili ya Mr. Mbowe na Mungu alitupatia Mbowe. Sasa hapa si kusema kwamba sasa hatumuhitaji tena No. Ila nataka kuonyesha tu kwamba he came to us at an opportune time.
kazi ya kusimamisha kitu dhaifu ama kitu kichanga kuwa organization kubwa na yente misingi imara na sahihi ni kazi ngumu sana sana sana kuliko wengi tunavyoweza kudhani.
Hii ndio kazi waliyo ifanya viongozi wetu wazee waliotuwekea misingi ya utaifa wetu. Mzee Mwalimu Nyerere, Ndugu Sokoine, Ndugu Sarakikya, Mzee Kawawa na wengine wengi hapa tanzania na akina Mandela na wenzake huko nje africa kwaujumla.
Kazi imefanyika, na kazi imeonekana!
Hongera sana Mr. Chairman.
However changamoto Hasa zimeanza kujitokeza, na hizi ndizo kipimo hasa cha uimara wa taasisi yetu.
Lakini hapa pia bila kusita maamuzi SAHIHI yalifanyika na kwawakati bila kuchelewa.
Hii imeleta kutoeleweka kwa mh. Mbowe kwa watu wengi. Lakini mimi masema,
Good job Mr. Chairman, uongozi ni jukumu gumu sana, uongozi wowote!!.
Siwengi wanaoweza kuelewa hili. They say it takes a leader to understand one!
however katika kumalizia niombe tu sasa kwamba hekima ikuongoze pia.,
Hapa tunahitaji kuvuka si salama tu, ila PAMOJA.
mimi naamini unaumia yanapotokea haya yanayotokea, lakini huenda unadhani hakuna namna inabidi yaende hivyo. Well, binafsi nadhani kwanafasi yako unaweza kuisimamia HAKI. Na kwamba, sio tu haki itendeke katika hili, laki haki IONEKANE ikitendeka katika hili,
Mh. Mwenyekiti bado upo umuhimu wakuhakikisha maamuzi yanafanyika juu ya taarifa zilizothibitishwa pasipo shaka kabisa lakini pia kwanidhamu na heshima ya utu na nafasi ya anaye kabiliwa na shutuma hizi, ikifika wakati sahihi taratibu sahihi zifuatwe kutoa adhabu yenye lengo la kufundisha na si kukomoa.
Katika hili mh. Mwenyekiti unayo nafasi kubwa! Na hapa ndipo uwezo Wako kiuongozi unapo onekana na wengi.,
Nafasi yako inaweza kuwa nafasi pekee ya kimbilio kwa wote wanaohisi ama kutendewa isivyo haki, ama kuadhibiwa kwa haki kabisa ila wakatafuta huruma ilikupunguza adhabu ambayo pengine ni kali sana.,
wewe ndio nafasi hiyo ya hekima na huruma.
Mheshimiwa,
Mungu akutangulie.