Uongozi NMB tawi la ifakara wazembe,siku ya 5 sasa pesa hakuna | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi NMB tawi la ifakara wazembe,siku ya 5 sasa pesa hakuna

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ziroseventytwo, Jul 10, 2011.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,521
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Bado sijaelewa management ya NMB tawi la ifakara ni wazembe au ndo bank imefulia. Uwezi kuamini ni siku ya 5 leo hawana pesa,hata kwenye ATM!. Vp jamani! Kunani? Au ndo pesa zetu zinalipa wafanyakazi, kumbuka sakata la zitto na mkulo. Zitto anadai serekali imekopa kwenye mabank kulipa wafanyakazi! Inawezekanaje m2 atake kudraw 5000000/=apewe 1000000/=NMB Kwa kweli mmfulia.
   
 2. w

  wyclefmore Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nmb ifakara wamechoka kupita kawaida-wilaya nzima ya kilombero atm machine mbili tu-this is absurd.ukiwaambia waweke atm maeneo mbalimbali utasikia oohh lazima sijui atm iliyopo ihudumie watu laki kumi.mi nadhani hizi policy ziwe flexible kidogo geography ya kilombero iko complex kidogo.unajua pale benki juu kuna watu wanaishi daws ikigoma unampandia kulekule juu kama ni weekend,maana nadhani meneja ndo anaishi kule juu.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,068
  Likes Received: 6,521
  Trophy Points: 280
  Ukishangaa ya musa utaona ya frauni, na hii ndo tz.
   
Loading...