Uongozi ni utumishi:JK

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Rais Jk amesema kuwa kazi kubwa ya kiongozi ni kuwatumikia wananchi,kwa kuwasikiliza na kutatua matatizo yao,,,,,,,,,,aliongea akiwa hukooo mkoani LINDI.

MY TEKI: Sijui alimaanisha kuwa yeye ni msikivu au aliwaambia watu wake wawe waskivu kwa raia

Chanzo:uhuru
 
Kama analijua hilo kwanini hatutumikii? Inamaana anajua wajibu wake ila anakua kiburi kutimiza angoje umma umwonyeshe wajibu wake kwa vitendo
 
Back
Top Bottom