Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.

Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.

Lakini Tundu Lissu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.

Mungu wa mbinguni awapeni siku njema iitwayo Leo!
Acha kulinganisha matendo ya Mh. Mbowe na shetani
 
Back
Top Bottom