Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.

Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.

Lakini Tundu Lissu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.

Mungu wa mbinguni awapeni siku njema iitwayo Leo!
...Waliofanikisha uhuru wa Afrika kusini walipambana wakiwa uhamishoni eg.Tanzania.

...Rais wa sasa wa Zimbabwe aliikimbia nchi kumkwepa Mugabe,Mugabe alipopinduliwa ndipo akarejea na kuwa Rais.

...Mifano mingine ni Somalia,Ethiopia,Msumbiji,Congo na uko Ulaya.

...Run and live to fight another day ni silaha nzuri sana maana ata Yesu alimkimbia Herode na kuja Afrika.

NB: Soma mambo kabla ya kukurupuka!
 
Lissu na lema ni watu ambao hawapaswi kuwa na madaraka ya juu .. Ni kama kunguru tu..

Mbowe ndio kiongozi bora wa upinzani kwa mda wote.. Mbowe yupo kwa ajili ya watu , ni kiongozi mwenye busara kuwah kutokea ..
Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.

Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.

Lakini Tundu Lissu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.

Mungu wa mbinguni awapeni siku njema iitwayo Leo!
 
...Waliofanikisha uhuru wa Afrika kusini walipambana wakiwa uhamishoni eg.Tanzania.

...Rais wa sasa wa Zimbabwe aliikimbia nchi kumkwepa Mugabe,Mugabe alipopinduliwa ndipo akarejea na kuwa Rais.

...Mifano mingine ni Somalia,Ethiopia,Msumbiji,Congo na uko Ulaya.

...Run and live to fight another day ni silaha nzuri sana maana ata Yesu alimkimbia Herode na kuja Afrika.

NB: Soma mambo kabla ya kukurupuka!
Rais wa sasa wa Zimbabwe alifanya nini?

Kweli Bavicha aliondoka nayo mwanasheria nguli Patrobas Katambi!
 
...Waliofanikisha uhuru wa Afrika kusini walipambana wakiwa uhamishoni eg.Tanzania.

...Rais wa sasa wa Zimbabwe aliikimbia nchi kumkwepa Mugabe,Mugabe alipopinduliwa ndipo akarejea na kuwa Rais.

...Mifano mingine ni Somalia,Ethiopia,Msumbiji,Congo na uko Ulaya.

...Run and live to fight another day ni silaha nzuri sana maana ata Yesu alimkimbia Herode na kuja Afrika.

NB: Soma mambo kabla ya kukurupuka!
Uongo Afrika kusini Mandela aliongoza Mapambano akiwa ndani ya Afrika ya kusini

Msumbiji Samora Machel aliongoza Vita akiwa ndani ya Msumbiji

Ethiopia Mengtsu Haile Mariam aliongoza Mapambano akiwa ndani ya Ethiopia

Somalia Siad Barre aliongoza Vita akiwa ndani ya Somalia , Museveni pia,Kagame pia no hawakuwa Kama Lisu na Lema wanasokomeza wengine msitari wa mbele halafu wao wanakimbilia ulaya na Canada wanasikilizia kwenye Twitter na jamii forum Nini kinaendelea huku wakila Bata na kuku kwa mrija Ubelgiji na Canada wao na familia zao na kuibuka Siku Moja moja ku comment mitandaoni Kama Twitter ,jamii forums na YouTube nk !!!!
 
..Mandela alikuwa gerezani uku wana wanapambana,wengi walihifadhiwa Morogoro,hao ndio walioleta uhuru,Mandela alikuwa kifungoni..soma tena!

..Museveni kasomea UDSM na kupambana akiwa bongo akisaidiwa na Nyerere baada ya Obote.

..Kabila alipambana akiwa hapa bongo akisaidiwa na serikali yetu..Soma maana unachekesha!

..Rais wa sasa wa Congo nae alikuwa anaishi Belgium uhamishoni kabla ya kuja tena kupambana...Soma!

..Rais wa sasa wa Zimbabwe alimkimbia Mugabe lakini alirudi na kuwa Rais!..Soma.

..Uko horn of Africa ndo usiseme maana Rais na serikali yake aliapishwa nje ya nchi na alikuwa anaongoza nchi akiwa uhamishoni na mambo yanaenda.

..Mungu mwenyewe alimuamuru Joseph amkimbize Yesu uhamishoni Africa ili amuepushe na mkono wa Herode,baada ya Mungu kumshughulikia Herode ndipo Yesu akarejea kufanya shughuli zake km kawaida...hii mbinu iko kitambo tu.

Hiyo mbinu ya akina Lissu na Lema inatumika dunia nzima na huleta mafanikio sana tu,tena siku hizi kuna technology ndo kabisa mambo poa.
 
Hujaelewa kwenye Vita halisi walipigana nchini kwao.Museveni hakuvaa kombati na kupanda vyeo vya kijeshi Jeshi la Uganda akiwa Dar es salaaam au popote Tanzania Alipanda vyeo msituni Uganda, Kagame pia vyeo vyake vya kivita hakuvipata uhamushoni ni msituni Rwanda na Kabila hakupata uraisi kwa kuletewa Dar es salaaam aliupata vitani Kongo Hadi kuuawa na walinzi aliuawa Kongo sio Tanzania

Huyo Makamu aliyemrithi Mugabe si kuwa alikuwa anapigania uhuru alikimbia tu baada ya kuona yeye na Mugabe hawaivi kwenye ulaji tu Hana chochote Cha maana alichobadilisha Zimbabwe yeye na Lisu na Lema kundi moja tu wasubiri fursa tu Mugabe alipokufa Jeshi likaona nchi isije paraganyika wakambeba Kama kuku wa mdondo kumwingiza Ikulu lakini Hadi leo hajawahi thubutu kutukana Mugabe na alimzika mwenyewe kwa heshima zote

Lisu na Lema walitoroka wanasubiri ugali uive waambiwe karibuni mule chakula tayari!!! Tumeshapika mliotuacha mkakimbilia Canada na Ubelgiji!!! Ndicho wanachosubiri
 
Rais wa sasa wa Zimbabwe aliingia ikulu Mugabe akiwa hai,usipotoshe!

Lissu na Lema wamepambana sana na wanapambana sana uko walipo ni uwanja tu umebadilika sababu ya fursa za teknolojia.

Kuhusu Yesu vipi?

Ile serikali ya uko horn of Africa iliyoapishwa uhamishoni vipi?

Leta hoja za mashiko maana suala la akina Lema kupambana wakiwa nje ya nchi sio tatizo ata kidogo,tena huo uwanja mpya ndo mzuri zaidi maana nyie wauaji hamtabiriki..😂😂

Hili la kupambana wakiwa uhamishoni linawauma sana ni sawa na simba kushindwa kupambana na mamba akiwa majini😂😂
 
Back
Top Bottom