Uongozi Mpya wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

ninachoshindwa kuelewa JF ni kuwa , kama ukweli kuna ukabila kwanini usisemwe? ukizuiwa kuna tofauti gani na CCM inayosema kuwa wao hakuna mafisadi??

Tanzania ya wote na vyana vya siasa ni vya wote, SWALI NI WHAT IF IS TRUE??

Tuache tu liendelee kwa sababu ni Chadema?
 
Salaam zimefuatiwa na uzinduzi wa viwili. 'Chadema ni Msingi' na 'Maendeleo Dialogue'. Sasa wanazindua uchangia wa kielectronik kwa njia ya mtandao.
 
Salaam zimefuatiwa na uzinduzi wa viwili. 'Chadema ni Msingi' na 'Maendeleo Dialogue'. Sasa wanazindua uchangia wa kielectronik kwa njia ya mtandao.

Sawa mkuu Pasco tunakupata uzuuri kabisa, bravo kwa kazi nzito ya kutuhabarisha hapa!
 
Kujiunga Chadema sasa ni kwa simu ya mkononi na mchango ni 300 tuu kwa mwezi.
 
Uzinduzi tayari wanatoka nje kwa picha za pamoja na ndio mwisho wa ufunguzi. Daruso, Sakina Datoo ndani
 
Kujiunga Chadema sasa ni kwa simu ya mkononi na mchango ni 300 tuu kwa mwezi.

Hii safi sana, chama hujengwa na wanachama...sasa kwa mwendo huu kila aliyetoa Shs 300 yake ana haki ya kuhoji kila senti inavyotumika. Na huenda hata wakafikia mahali hawahitaji tena ruzuku...just thinking aloud
 
Mbowe amemalizia kwa kuifagilia Cuf na kusisitiza Chadema itashirikiana na vyama makini tuu.
Ccm kumbe ilitoa ushauri kwa Chadema jinsi ya kuendesha demokrasia. Amesema hali ya Chadema ni kama ina mafua ila Ccm ina kansa. Hotuba ya Mbowe imekuwa ikikatishwa na ushangiliaji unaongozwa na Jose Selasin

Dah! hata Mbowe anajua kama chama cha Cuf ndo chama makini pekee, KARIBUNI. THANX PASCO KWA KUTUPA HABARI
 
Hii safi sana, chama hujengwa na wanachama...sasa kwa mwendo huu kila aliyetoa Shs 300 yake ana haki ya kuhoji kila senti inavyotumika. Na huenda hata wakafikia mahali hawahitaji tena ruzuku...just thinking aloud

Na ana haki ya kugombea cheo chochote kile!
 
Mke wa Mbowe alibainisha kuwa yeye siyo mwanasiasa ila ni Chadema damu. Aliyemleta duniani ndiye muasisi wa Chadema na yule Mungu aliyamchagulia ndiye mwenyekiti wa Chadema sasa.
 
Mke wa Mbowe naye anahutubia!.

atii umesema first lady au???????????

Balaa tupu.... huu sio mkutano mkuu na kama ni mkutano mkuu sikutegemea waalikwa watoke vyama vingine kuja kushuhudia Hotuba ya Mbowe??

Enewei Zitto kawa nyepesi so lets keep watching tuone how far this will go...
 
Wageni waalikwa hao mkuu...wanaiga Waingereza. Si ulisikia Mbowe alikuwa shule UK miaka ya nyuma..lol

siyo kuiga Waingereza, hata wakati tunaongozwa na machifu/watemi/watwa/mangi ... wake zao walikuwa sehemu muhimu katika utawala wao. Soma vizuri historia mzee. Tambua kwamba mafanikio yako yanachangiwa sana na spouse wako. Mbona Mama Salma anapewa nafasi yake kama first lady na hujawahi kushutuma kuwa ni uzungu? au kwasababu Kikwete hajawahi kwenda kusoma ulaya?
 
atii umesema first lady au???????????

Balaa tupu.... huu sio mkutano mkuu na kama ni mkutano mkuu sikutegemea waalikwa watoke vyama vingine kuja kushuhudia Hotuba ya Mbowe??

Enewei Zitto kawa nyepesi so lets keep watching tuone how far this will go...

mkutano gani huwa unaalika wageni kutoka vyama vingine? Kwani hii ni mara ya kwanza? lol
 
siyo kuiga Waingereza, hata wakati tunaongozwa na machifu/watemi/watwa/mangi ... wake zao walikuwa sehemu muhimu katika utawala wao. Soma vizuri historia mzee. Tambua kwamba mafanikio yako yanachangiwa sana na spouse wako. Mbona Mama Salma anapewa nafasi yake kama first lady na hujawahi kushutuma kuwa ni uzungu? au kwasababu Kikwete hajawahi kwenda kusoma ulaya?

Nilikuwa natania mkuu....wanawake ndio gurudumu la maendeleo.
 
Back
Top Bottom