Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

Hawa wote ni wafuasi sugu wa Lowassa. Ushindi wao umetokana na nguvu na ushawishi wa Lowassa. Hongera Lowassa, rais mtarajiwa wa Tanzania 2015.

Umesahau Jinsi PRINCE alivyotumia pesa kibao naona sasa hivi anatetemeka...


553383_365563653532138_432382685_n.jpg
 
uv1.jpg


Wazee walikuwa karibu kukagua uchaguzi, hawakuwaachia nafasi vijana wapumue na kujifanyia mambo yao...
 
Waacheni wajipange; haya ni mambo yanayoendelea CCM na CCM inajipanga kuelekea 2015. Swali kubwa nii je mabadiliko yote ya uongozi yanayofanywa ndani ya CCM sasa hivi yatakisaidia vipi chama kuendelea kutawala 2015?

Mwanakijiji, jibu ni kwamba hawana jipya wote hao maana wameingia madarakani kwa ajili ya kumsaidia mtu kufikia malengo yake na siyo kukisaidia chama kushinda chaguzi, hivi Mhe. Sadifa anaweza kumshawishi nani amchague mtu? Hata hao akina Lowasa waliohangaika kumuweka huyo Sadifa na huyo Mboni wao wamepoteza pesa zao na muda wao bure tu, hatoweza kujenga hoja yoyote ile popote pale hivyo wametumia pesa nyingi sana kuweka maboya tu
 
Mkt- SADIFA JUMA KHAMIS
M.Mkt- Mboni M. Mhita.

WANEC
1. Jerry Slaa
2. Deo Ndejembi
3.Anthony Mavunde
4. Jonas Nkya
5. Petro Magoti (mlemavu wa viungo)
6. Fatma Jumbe (mlemavu wa Ngozi)

Chezeya LAIGWANANI weye! Bado na wazazi akamilishe wale wanafki safari ya CCJ imewadia, MJINI MIPANGO KIJIJINI KILIMO Maskini kuna vijana wameondoka Dodoma usiku wameropoka sana, hayawi hayawi.. azimio la Pwani chali mh. Ulega aibuuu! Kama Rizone anawapenda sana awape ukuu wa wilaya coz kila NAFASI ya kugombea hamtashinda coz hamchaguliki HAPPI and the team muulizen Musiba analia maumivu haaahaaaa Olivia Sanare! Chaliiiii. Jamani siku zote mwenye nguvu Mpishe NAPE upooooo! Ooooh eeeeeh Sijui nini chaliii Sasa it's official T2015EDO. SKY IS THE LIMIT
 
huyo ndiyo mboni mhita mzalendo kweli kweli mpigania haki za vijana kama malemo tutegemee makubwa kutoka kwake rip chadomos ccm oyeeeeeeeeeeee

Mboni Mhita ana sifa mbaya nyingi tu, hapa nafunguka tatu tu.

Nilikuwepo Tanga kikazi uchaguzi mkuu wa 2010. Huyu dada alishiriki sana kumchafua mgombea mwenzie wa Ubunge- Vijana, Viti maalum mkoa kupitia CCM aitwae EM baada ya kuona alielekea kushindwa na huyo mwenzie. Alimtungia uongo mwingi tu pamoja na kumbambikia kesi ya Takukuru. Rafiki yangu mmoja hivi aliekua kambi ya Mboni alinipa hii issue.

Pili ni m.alaya wa kutupwa. Amehonga sana nanihii yake kufikia hapo alipo, Makamba mkubwa alishawahi kumpaka live na akamwambia kua hafai kuongoza. Nafikiri angeendelea na Ukatibu Mkuu, huyu demu asingekua anasikika now. Inafahamika kua hata Prince wetu alishapitiaga hapo.

Tatu ni sifa ambayo kwa Magamba imekua fasheni, kuchakachua umri. Huyu yuko above 30 toka anagombea Tanga 2010. Ila ndio hivyo tena. Wenyewe wanajuana na hakuna wa kumwambia mwenzake maana toka enzi za kina Masauni, Nape, Shighela, n.k. style ndio hiyohiyo!!
 
Mbona Wajumbe wa NEC uvccm hakuna waislam?huyo mwenyekiti katoka zanzibar.waislam bara mpo wapi na ccm yenu?
 
CCM HOYEEE''
MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.JUMA SADIFA-2012-2017
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.MBONI MHITA
HONGERENI SANA!!!UVCCM HOYEEEE

WAJUMBE NEC

Jery Slaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya
Pls pardon my ignorance, hawa vijana ni wabunge sasas hivi, au viongozi wa UVCCM wana hadhi ya kuwa waheshimiwa kama inavyotumika hapa (mh...).
 
CCM HOYEEE''
MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.JUMA SADIFA-2012-2017
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.MBONI MHITA
HONGERENI SANA!!!UVCCM HOYEEEE

WAJUMBE NEC

Jery Slaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya

ila mkuu nimekukubali kwa jinsi unavyojituma kutupasha habari japo uko majuu.
 
Haaah! Hapi Salum Ally...wapi? Maana kuna vinyago wake walikuwa wanampamba kama maiti!

Chezea SIASA weye!!
 
Back
Top Bottom