Uongozi jamii forum nataka niseme hili kwa moyo wangu wote naanika kwenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi jamii forum nataka niseme hili kwa moyo wangu wote naanika kwenu

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by mansakankanmusa, May 6, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  MIMI ni mtanzania muafrika mweusi si! nataka niwashukuru kwa kuanzisha hii JF imekuwa shule kuu na nataka niseme itaendelea kuwa shule yangu kabla baada ya shule zangu, nilizopitia

  Kwa hiyo basi naahidi kuheshimu sana hii forum si kwamba nishawahi kumess up! hapana ni kwa namna ninavyokubali hii forum,

  labda niseme kwamba kabla ya jf nilikuwa paltalk wana forum mbalimbali pia, lakini jf naipenda na nilitembea mitandaso yooote na mingine nisojua bado nafaham jk you have huge room to keep me in//

  JF niliingia wkt nikiwa chuo kikuu kimoja majuu, na nikafukuzwa, inawezekana ni kwa sababu nilliiingia nikaanzakutumia bila kusoma sheria, sijui nilivunja sheria ipi lkn najua lazima nilivunja sheria na ndo maana sijalalamika..maana kutojua sheria si sabb ya msingi kutofungwa, jf you are my home please be!

  sijui hata jf mwongozaj yuko wapi lakini hilo najua si muhimu kwangu kwa sasa, lakin i swear ikitokea tatizo nijulisheni kabla ya kuniban maana naheshimu forum

  jf napendelea sana, siasa,na kila kitu humu ndani..natumia zaidi ya saa 6 kila siku jf, lkn vunja mbavu jf ni wale watu wanapozodolewa kwa kuandika uchafu mimi huwa nikisoma mtu anavyosemwa akikosea basi mimi mbavu sina ..kwa mfano leo.. jamaa mmoja aliomba aliwasema wenzake waliomaliza kidato cha 6 wasiende udom ..mkuu yule alichambwa sana..akapotea, mwingine alikuwa anashauri na akatoa lecture hatari ya kupiga puli..nilicheka sana..mesejiyake kwa sababu yeye mwenyewe kama hajalipiga mambo aliyoandika na yeye lazima alilipiga sana... sasa sijui alioa akaacha au la!!! sasa meseji yake inachekesha tu...ilivyo...siku moja kulitokea kukumbushana humu jf..watu wakaanza kukumbushana chupi tulizovaa miaka hiyooo za VIP.. kama tunacheza mpira utashangaa bchupi ipo kifuani..mwingine alivaa kaptula alikuwa haifui siku moja alivua akawa anaogelea, sasa kaptula ikabebwana mbwa..n kukumbuishsna enzi hizo... to jf you are the best please biig up ssana.

  Naomba kuwasilisha.

  sitashangaa kuchumbuliwa na wanajf..karibuni tu!:A S 465:
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  so the point is.....?
  kwanza umeshachangia JF......?
   
 3. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  njia tu ya kuchangia boss. yenye uhakika
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  JF ilikufanya ufukuzwe chuo cha majuu university?
   
 5. M

  Mboerap Senior Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi wajameni watu hufukuzwa JF?
   
 6. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  karibu naona umejiunga jana,goog start
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  sawa ila changia jf mkono mtupu haulambwi tuendelee kufaudu mi binafsi nshawahi kuandika kwangu jf ni zaidi fb nina mwezi wa 5 sijagusa fb lakini hapa j3 masaa 4 naona nimekosa miaka
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  karibu sana jf japo ulikuwepo nilitaka nikuchambe ila umenichekesha sana mwishoni hapo kwenye post yako so tuko pamoja seriza za jf mojawapo ni usitukane tukane humu au kutuma sparm
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nawish ningeziona hizo chupi za VIP...lol:flypig:
   
 10. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,008
  Trophy Points: 280
  Katika hii dunia kuna mambo mawili ambayo siyaelewi asilani;
  1. Hotuba za Kikwete anapowahutunia wale wazee wacheza bao wa Mwembe Yanga
  2. Huu waraka uliotuandikia hapa
   
 11. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,008
  Trophy Points: 280
  Hivyo hivyo na nguo zako?!
   
 12. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  binafsi toka nijiunge JF january this year....nkimis kupekua jamvini kwa siku nahis kuachwa nyuma miaka 5....mabreaking news ya humu ndo yananiacha hoi....mengine galacha mengine supa....ila kuna mtu anatumia ID ya Invisible huyu jamaa noma (but sina hakika kama she or he) mabreaking news yake yanakuwa ya ukweli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  vipi unataka kunionyesha?! :loco:
   
 14. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dini gani wewe? Freemasons au? Tujue hilo kwanza ndio tuchangie.
   
 15. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,744
  Likes Received: 8,008
  Trophy Points: 280
  Inabidi wote tuvue. Hata mimi ningependa kuona ya kwako ya kisasa
   
 16. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  At least,umetambua ilo.Ebu fanya ili,kama kweli umekiri kwa kinywa chako,Weka ID yako humu inayoeleweka cyo iyo ya kichina,as a step foward.
   
 17. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa nacho chupi ya VIP, duuu, wanaganda chawa kinomaaaa
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  changia jf loh
   
 19. k

  kiruavunjo Senior Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  January february march aprily may june julay august september october november december uko jf? Mimi nimejiunga jana. Jamani wana jf hodiiiiii, nipokeeni mgeni wenu humu, hayo uliyoyasimulia hapo juu sijakutana nayo meku.
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Poa,tumekupata.
   
Loading...