Uongozi DAWASCO Upanga ni wabadhirifu

stesheni

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
528
262
Uongozi wa DAWASCO Upanga unawanyanyasa vibarua wake. Vibarua wanafanya kazi ngumu tena hadi jioni na Jumamosi pia, lakini serikali inatoa pesa kwa ajili ya mishahara yao lakini uongozi unakula pesa hizo na kuwafanya waishi maisha magumu.

Cha kushangaza ni kwamba DAWASCO wanakusanya pesa wenyewe, iweje vibarua wakae miezi mitatu hawajalipwa. Serikali chunguza DAWASCO Upanga maana wanaleta uchonganishi baina ya vibarua na wananchi.
 
Nnakumbuka hao dawasco upanga walikuwa wanakata maji makusudi kabisa ili ukaripoti kwao halafu wanajidai kuja na kukwambia bomba lina hitilafu na inatakiwa spare hii na hii na hii kwa hiyo tukiomba makao makuu itachukuwa hadi wiki, kama unapesa tupe tukanunuwe tuje kurekebisha upate maji. Ukiwapa pesa haifiki hata nusu saa maji yanarudi.

Ni mafisadi wakubwa hao. Tena wakatumbuliwe haswa, wacha waisome namba wametesa sana watu.
 
Dah,mkuu unachosema ni kweli Mimi mwenyewe wamekata bomba langu makusudi alafu wanasema nitoe 25000 eti wànunue kifaa!!Alafu pia wanabambikia Wateja bill kubwa tofauti na matumizi.Kuna jirani yangu walimpa bill ya laki sits wakati matumizi yake in ya kawaida nyumbani. DAWASCO BOKO ni shida aisee.Ata waziri wa maji atumbuliwe sio mfuatiliaji.
 
Back
Top Bottom